Kiba anapaswa kushindana na hali ya soko la muziki wa sasa akianzia nyumbani mpaka nje.
Kwa iyo ajifanyie anavotaka tu?
Jamani, sio sawa tutaishia kuchekwa kama mabundi tu.
kwani bado hajaku-pm
Mmmmh alikujibu hivyo?? Nakumbuka alipost kuwa "ninashukuru nimesikia ushauri wenu and am working on it"
Kwahiyo unataka kila unachomwambia akichukue? Kumbuka ushauri unaotolewa ni mwingi mnooo na watu tofautitofauti na kila mmoja na mtazamo wake, it needs time for him kuchuja which is which, na kumbuka ana management hawezi kujiamulia tu, cha msingi aisuke kwanza management yake vizuri ili iendane na soko la muziki kwa sasa, na unaweza ukute ana malengo yake tofauti kabisaaa na tunavyofikiria, tumpe muda
Sawa ngoja nisepe ndrukiii naona leo kuna maongez serious kuhusi kijana wenu mvivu"
Wee ebu jiheshimu tupo kwenye kikao cha familia kisichokuhusu kama huwezi kusikiliza ukakaa kimya pita iviii
Mie sikatai hilo mama na ndio lengo la huu uzi, kumshauri,kumpa changamoto na kumsapot, ila unajua hata ushauri una namna ya kutolewa, waweza tos ushauri mzuri tu ila ukaonekana wa ovyo kutokana tu na the way unavyoutoa, jazba za nini sasa jamani.
Tumpe muda mpaka masiah arudi😕😕😕😡
Mie nna uwezo wa kukupa A to Z ya kuhusu Kiba ila kwa sababu nyie ni washabiki maandazi endeleeni kusubiri kitu ambacho hakipo. Ni mwendo wa disappointment tu.
Kiukweli ata mimi sifurahii hii kitu tunapoteza talent kubwa sababu ya mambo ya kiswahili tu hakuna ata la msingi la kukwamisha.
Jamani mtu kaachiwa goli afunge anapiga chenga bado. Uliza mwenzie yupo wapi sasa hivi na anafanya nini?
Kama una la kusema ungesema sio unaandika vitu ambavyo havina mantiki
Mie nna uwezo wa kukupa A to Z ya kuhusu Kiba ila kwa sababu nyie ni washabiki maandazi endeleeni kusubiri kitu ambacho hakipo. Ni mwendo wa disappointment tu.
Kiukweli ata mimi sifurahii hii kitu tunapoteza talent kubwa sababu ya mambo ya kiswahili tu hakuna ata la msingi la kukwamisha.
Jamani mtu kaachiwa goli afunge anapiga chenga bado. Uliza mwenzie yupo wapi sasa hivi na anafanya nini?
Okay yaishe basi. Endeleeni kumshauri.
Sasa mlitaka autoe kiaje yani?
I like it.
White is white, blue is blue
Baadaye nakuja wacha niitumikie ndoa.
atoto usikae kimya, sote tushirikiane kuondoa upepo huu
Sijakaa kimya baba si unaona ninavyojitahidi kumuomba abou na Ms.Lincoln watueleze hataa hawataki, ngoja tusubiri tuone
Eeeh!..ni kitu gani tena mkuu kimetokea kwa hiyo video?,alafu kama ni kitu sensitive sana naomba usicomment hapa just nifuate PM unijulishe bana.