usjali kabisaa yani kuhusu king kiba yani zabibu ndo anajua vitu vingi sana vya kaka yake hta nyimbo zake ye ndo anazivujisha insta xo dont worry about kiba he is from another planet #kebekebe
Kiba yupo chini ya management bora Africa ambayo ipo karibu na mastaa wakubwa duniani kwa maana iyo yupo vizuri ila local management yake haina tofauti na ngozi ya kenge
Nitakuja PM kukuelewesha
Eeeh!..ni kitu gani tena mkuu kimetokea kwa hiyo video?,alafu kama ni kitu sensitive sana naomba usicomment hapa just nifuate PM unijulishe bana.Hivi unakijua kilichotokea kwenye video ya chekecha ?
Kiba anaringia kipaji sawa ila kinapita kile
Mtazamo wangu ni huu
Ili Kiba Mr Ambassador abadilike
Inabidi mashabiki tujielewe
Kiba has gt immense fan base
Ila hataki kua karibu nao
Hawasikilizi itafika kipindi watakimbia watabaki wachache
Mtu unampa ushaur anakujibu K
K, anamaanisha Kiba&Kidoti
Au kubwa kuliko
Uislam unakataza watu kuimba
Anachokifanya Kiba ni ukosefu Wa maneno linasingizia ramadhani
Hivi unafikiri akiachia cheketua video week 2 zijazo izo ngoma cjui collabo mnazolilia c zitatoka January 2016 ? Na video zake July 2016
"li" Kiba kakufanya nini leo? Hahahaaaa nacheka kama mazuri aiseee, wewe una lako jambo sio bure, hebu punguza jazba toa ushauri vizuri tu utaeleweka haina haja ya kupanik
naona kama vile yale mambo aliyoyasema zingifuri yanatokea kwa huyu jamaa
Afu kweli mimi sijui ni nini kimempata leo sijui ni team domo anatembelea id yake? Ata sielew
Afu kweli mimi sijui ni nini kimempata leo sijui ni team domo anatembelea id yake? Ata sielew
Yaani mie hata simuelewi kabisa leo, sijui Kiba kamfanya nini na inaonekana ni mtu wake wa karibu(coz he knows alot) sas kuja kumalizia hasira zake hapa mie nimebaki tu mdomo wazi, abou hebu calm down kwanza ongea tu vizuri utaeleweka bwana, ofcoz Kiba ana mengi ya kujifunza lkn sio kwa mtindo huu

kwani kuna nini tatizo? Mimi ninachojua kuna ngoma kiba alikuwa ameiachia na vipande vimevuja.
Lakini pamoja na hayo ni vyema tukajuzana ni kipi kimetokea haswa
Jirani sio vizuri.
Ondoka nenda kwenu na wewe kaah!
Amuwezi kumuelewa mwenzenu sababu wengi hapa ni mashabiki maandazi na mpo gizani.