Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,948
- 2,112
kama kuna lolote liweke hapa tujue, watu tuna vifua kwa habari kama hizo, pia hata iweje siwez acha kumpenda kiba labda aache mziki
Sio siri Kiba anazingua sana upande wa video mpaka leo kimya, akikwambia coming soon ujue ni miezi 3 mbele, mfano hapa ilitakiwa hapa awe ametoa ngoma mpya na kichupa chake lakini ndo kwanza bado tunasubiria chekecha video.
Sisemi hapa nitang'olewa meno kwa kisu
Alafu bado nahitaji kuishi
Wafatilie mastaa woote Africa au duniani
Alafu hesabu kwa mwaka wanatoa ngoma ngapi ? Na je wanachelewesha video ?
Je hawana upinzni unaowapa presha
Wafatilie kina WizKid,davido ,peter na paul ,flavor ,cabbo
Hutajua kwanini n muhimu kutoa angalau ngoma 2 au 3 kwa mwaka
sawa ila mziki wa Tanzania ni tofauti na nchi nyingne Tanzania hawauzi album kina wiz na davido na USA lazma wotoe ngoma nyingi coz wanauza sana album xo its ok for kiba #kebekebe
haiwezekani kunitumia kwa pm, maana ni vizuri kumjua adui yako ili uweze pambana naye, halafu hadi ramadan iishe ni mbali fanya kuiweka my boy Abou Saydou
kama kuna lolote liweke hapa tujue, watu tuna vifua kwa habari kama hizo, pia hata iweje siwez acha kumpenda kiba labda aache mziki
Sio siri Kiba anazingua sana upande wa video mpaka leo kimya, akikwambia coming soon ujue ni miezi 3 mbele, mfano hapa ilitakiwa hapa awe ametoa ngoma mpya na kichupa chake lakini ndo kwanza bado tunasubiria chekecha video.
Wafatilie mastaa woote Africa au duniani
Alafu hesabu kwa mwaka wanatoa ngoma ngapi ? Na je wanachelewesha video ?
Je hawana upinzni unaowapa presha
Wafatilie kina WizKid,davido ,peter na paul ,flavor ,cabbo
Hutajua kwanini n muhimu kutoa angalau ngoma 2 au 3 kwa mwaka
yani kiba anawafanya watu wanafanya kazi mpaka mwezi mtuku wanakesha studio ila wenzake wote wamepuumzika sasa swaum ikiiisha watu watakimbia humu ngojeni tu #kebekebe
Sasa album huuzi !!
Na kutoa nyimbo japo tumbili tu kwa mwaka iwe shida?
Punguza mahaba pwilo utakuja kumpga mkeo kisa Kiba ohooo
peterchoka tatizo people hawana uvumilivu wanataka matokeo ya haraka that way kweli? Hata roma haikujengwa siku moja, wampe muda Kiba he has a lot to offer ila tukimpressurize kwakweli ataharibu alafu tuanze tena kuongea na kumtafuta mchawi, tumpe ushauri ila tutambue yeye ndio mwenye maamuzi with wht to do n take, everything needs time.No worries, time will tell my atoto