Asili ya maji ni ubaridi tu ndugu yangu hata yachemke vipi, unafiki hujui una mwisho? Ustaarabu hawaujui sasa ukianzisha habari za ustaarabu lazima waumbuke tu
Unapochelewa kutoa video unawapa watu nafasi ya kujenga script zao
Usshangae video ikitoka mtu akauliza "mbona maghorofa ya kko hayapo"
Hii pia hupelekea video kutokaa hewani kwa mda mrefu kwasabbu Nina script nyingi kuhusu video ya chekecha
Akitoa ambayo haifanani na script yngu hata moja
Nitaishobokea wiki ya kwanza then nitaipotezea
Ya amini nakwambia hata iwe nzuri kama maji ya zamzam
Lazima vidole viwawashe siku hiyo
Lakini akitoa kitu ambacho hakipo vichwani mwao wataponda robo saa ya kwanza then watatulia
Unapochelewa kutoa video unawapa watu nafasi ya kujenga script zao
Usshangae video ikitoka mtu akauliza "mbona maghorofa ya kko hayapo"
Hii pia hupelekea video kutokaa hewani kwa mda mrefu kwasabbu Nina script nyingi kuhusu video ya chekecha
Akitoa ambayo haifanani na script yngu hata moja
Nitaishobokea wiki ya kwanza then nitaipotezea
Aitoe tu, na gharama zote hizo? Kama ni kuongea huwezi zuia watu, inasimangwa maiti itakuwa King habari ya watanzania!!! Aitoe tu tucheketue sie, mwenye script yake akaandae nayo movie huko.