Wanatukana sana
Thats what they can do better
Wanatukana sana
Thats what they can do better
Hao ni wa kukurupuka tuu na wana stress za tuzo na bado wakikosa na izi za south ndo watafurahi zaidi ya hapo.
Hahahaaa leo nimefanikisha kuwareport waalifu wa tatu na wakalimwa ban wote adi muuza njiwa. Wamezoea kubofya kitufe cha report abuse watu tunalimwa ban tuu sasa leo mimi ndo ilikuwa kazi yangu.
dunia itawafunza wasipobadilika na raisi wao wa maji machafu let's see #ROCKSTAR 4000
tunusuru nchi yetu taifa stars huko ishapigwa tatu sifuri na unganda,,,, mnaonaje tukilipiza kisasi kwa kupiga 3 za diamond platnumz afu 1 kwa vee mtonyo pale ndichi au sio...
Tupo pamoja wadau me ninachowakubali mnajielewa, tunathamini mapenzi yenu kwa chibu dangote nasi yunamkubali ali k for real pamojaaaaaaaaa
Mpaka mtu anaanza kumfukunyua mtu asomjua ili iweje? Si ndio kutokujiamini huko!! Alafu ukishamjua itakusaidia nini? Ili utukane vzr(as thats wht they know beta)
Usijipendekeze apa..
Huo muda unaoandika gazeti apa si unge vote??
Apa ni for davido, wizkd na vanesa na flavour. Kapeleke izi campean kwa team kukurupuka
Uliituma wapi mpenzi? Sijaona lazima ningesharespond.
Kanifurahisha response yake kuna na ya yule nimemsahau jina kawaambia watoke kwenye page yake maana bila davido ndomo asingejulikana maana hakuna aloijua no.1 og kabla ya remix na davido, na akawaambia lazima ndomo aendelee kufanya colabo na wanaija. Duuuuh!!
Upuuzi tuu umewajaa team kukurupuk yaani muda wote wanajishuku shuku tuu alafu hawajiamini mamy wanachojua ni new id tuu
Nimekumiss zaidi my peterchoka.
Nilikuwa nasoma tuu mnavyopambana na wazee wa kukurupuka
Kawajibu vzuri mno. Kinachowafanya kuvamia page ya mtu na matusi yao nini?
Wapuuzi kweli kweli nimrpenda tu pale pa Davido made Diamond loh.
watanzania tunakazi kweli hadi faly ipupa anashangaa matusi kwenye a/c ya davido watz wanatukanana davido hta kiswahili hajui maskin @ ROCKSTAR 4000
Am glad ua back ma dia yani na Mimi nicngeji control siku ile mana watu walipania ugomvi wa kinguvu.
Am glad ua back ma dia yani na Mimi nicngeji control siku ile mana watu walipania ugomvi wa kinguvu.
Naona matusi yamehamia jf sasa!! Duuuh watu wameshikwa pabaya na wamefika pabaya sasa, wababa watu wazima wameamua kujivua nguo ovyo ovyo alafu eti wanalaumu, uwiiiiiiii!!
Hilo timbwili sikulishuhudia aisee, tujifunze tu kuwa na limit jamani