Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Hili domo ni la kufanyia surgery tu ndio solution dress maker kila akijitahidi hapo anashindwa tu asemeje na mpunga wameshavuta, wazungu wabaya hawa!
Au izo tuzo za maandishi tuna picha za tuzo acha maneneo n projo izo hata mie naweza ingia net nikaandika article umesahau nomination ya bet kule kwa kina Beyonce mond aka hojiwa n mupenzi ya zaman ya Chris brown

et nigeria wanaita intanetional na marekani je? sasa domo anaenda kufanya collabo nigeria wenzake kina davido wizkidayo wanaenda USA #one8 # Ambassador
kweli mkuu yani kumuelewesha kedrick ni ngumu kuliko kumfundisha mzungu kiswahili ngoja nimuache na maumivu ya Kiba Music Awards #Rockstar 4000 presents# Ambassador
Toka kitambo tulianza kupata nomination za kimataifa before ya davido unakumbuka wimbo wa mbagala ulimfanya diamond aiigii kwny best upcoming MTV awards
Hamna international ya Africa waende outside the continent tuone. Wizkid na Davido ni next level kabisa. Na siku akifanya collabo la nje hiyo promo sasa.
Ay yeye kashafanya na wasanii wa nje ya USA.
Yaani huyu jamaa bhana, madili yake ya ajabu ajabu yakifeli ndo kutolea stress humu, mara auze njiwa, mara auze simu, mara anunue coins duh! Noma sana
πππππππ labda za Tandale usiku mwema bwana mana ww unasema unachojiskia tuuu kwaheri #one8 project $Ambassador