Diamond anawezaje Fanya media tour south Africa yaan anatembelea radio n TV tofauti diz guy iz international kweli aiseee mara merto FM, Mara kaya FM Mara ym FM ooh hadi channel o tv diamond shikamoo
Hahaaaaa hapo hata apakwe lami na huo mdomo mkubwa.😀😀😀😎
Acha afanye kuji boost huyu msanii wa intaneshno. Na bado atatoa nyimbo na zisiwe na jipya.Kweli Dai kavurugwa, sasa media tour ya nini wakati ngoma zake zilishachuja tangu week ya kwanza ilipotoka? Eti south my foot!!!
Acha afanye kuji boost huyu msanii wa intaneshno. Na bado atatoa nyimbo na zisiwe na jipya.
ni hivi nyinyi team domo mkitaka kumshindanisha diamond na alikiba mpaka diamond atimize haya sio mnatuharibia hali ya hewa tu hapa .afanye collabo na msanii mkubwa marekani sasa hapo nigeria mnaita intaneshional #one8 # Rockstar 4000 presents#Ambassador
Acha afanye kuji boost huyu msanii wa intaneshno. Na bado atatoa nyimbo na zisiwe na jipya.
Kweli wazalendo wana mambo, now wanahahaaaa kumtafutia Kiba baya ili aonekene mbaya ila waaaapi ndio kwanza wanazidi kujichafua na kujidhalilisha, mtoto wa watu hana habari anafanya yake tu like no body's business, chezea mr. Ambassador!!!
#iheartkiba
Kampeni utaanza lini? Kwenu Zenji hukubaliki?
Shardcole why bouther!! She aint worth yo time even yo explanations, just ignore her as usual, let her heal her pain in her own way.Kweli Dai kavurugwa, sasa media tour ya nini wakati ngoma zake zilishachuja tangu week ya kwanza ilipotoka? Eti south my foot!!!
Hahahaaaaaaa! Alafu wanajifarijigi eti kiba sijui nn wakati kutwaaa kumuongekea na kushinda kwenye uzi wake, yaani nawahurumiaga mpaka basi yaani, Kiba atawaumiza sanaaaaa na bado, and they know it.
nyingi saana kawashinda hadi kina beyonce na akon #one8 #Rockstar 4000 presents#Ambassador
Kiba next level na akitoa wimbo una hit mda mrefu tofauti na huyo wa intaneshno wimbo unakua ka bablishi.
Kiba kashawaumiza tayari Mpaka wanataftana wamepoteza network.
Wa kwako vp 😀😀😀😀
Anatarajia mtoto vp anawalea watoto wke au watoto hawapati malezi ya baba anywhere twende kwny mziki Diamond ana tuzo 24+ toka anze kufanya mziki Ali kiba je
sawa hata awe na tunzo 50 je ni za kwake ye mwenyewe au baada ya kufanya collabo nadavido tuzo zote za kiba ni za kwake co huyo domo mpaka amshirikishe iyanya #one8 #Ambassador