Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,948
- 2,112
Haya jamani ule wakati wa kuwaaga umewadia sasa.
Kutokana na taarifa za uhakika nilizozipata ni kwamba mwezi umeandama na kwetu sisi waislam ni ishara ya kuwa kuanzia kesho mwezi mtukufu wa Ramadhan utaanza.
Mimi kama muislam nitaungana na wenzangu katika mwezi huo mtakatifu wa toba, hivyo basi...sitokuwepo humu kwa kipindi chote hicho cha toba.
Ni furaha iliyoje kupata wasaa mwingine wa kutubu kwa yale yote mabaya niliyoyatenda?
Ila kwa namna nyingine ni huzuni maana sitowasiliana wala kushirikiana nanyi humu ndani kwa kipindi chote hicho.
Nitawamiss sana marafiki zangu atoto geniveros Ms.Lincoln cute b charty Matola Abou Saydou pwilo Shardcole unanitaka The Name asubuhi sana dawa yenu Zamaulid Diva Beyonce peterchoka victor moshi Victoire best angu mito...my uncle Zamiluni Zamiluni
Na kubwa zaidi mpenzi wangu mimi, rafiki yangu...my everything Mdakuzi! O.M.G.... basi tu niishie hapa maana nobody knows what I feel!
KWAHERINI WAPENDWA, TUTAONANA TENA PANAPO MAJAALIWA YAKE MUNGU

Acha nawaza hapa ni jinsi gani nitammiss Diva wangu acha tu.All the best ma dia nakutakia mfungo mwema wa Ramadhan. Nitakumicje sasa ua so wonderful am happy to have u as my friend.
All the best.
Yeah, najua umo dogo.Nakutakia kila la kheri. .Kila la kheri ,nami nimo
Yeah, najua umo dogo.Nakutakia kila la kheri. .
Acha nawaza hapa ni jinsi gani nitammiss Diva wangu acha tu.
I'll gonna miss you too darling.
Asante mdogo wangu.Asante, nawe pia
Ama nini? Nawaaminia makamanda.Yani so sad indeed ila no way out ndo hvo mwezi mtukufu huo. Nitakumiss hatari tuliobaki tutaliendeleza libeneke
#togetherasone
#onelove
#teamkibaforever
Haya jamani ule wakati wa kuwaaga umewadia sasa.
Kutokana na taarifa za uhakika nilizozipata ni kwamba mwezi umeandama na kwetu sisi waislam ni ishara ya kuwa kuanzia kesho mwezi mtukufu wa Ramadhan utaanza.
Mimi kama muislam nitaungana na wenzangu katika mwezi huo mtakatifu wa toba, hivyo basi...sitokuwepo humu kwa kipindi chote hicho cha toba.
Ni furaha iliyoje kupata wasaa mwingine wa kutubu kwa yale yote mabaya niliyoyatenda?
Ila kwa namna nyingine ni huzuni maana sitowasiliana wala kushirikiana nanyi humu ndani kwa kipindi chote hicho.
Nitawamiss sana marafiki zangu atoto geniveros Ms.Lincoln cute b charty Matola Abou Saydou pwilo Shardcole unanitaka The Name asubuhi sana dawa yenu Zamaulid Diva Beyonce peterchoka victor moshi Victoire best angu mito...my uncle Zamiluni Zamiluni
Na kubwa zaidi mpenzi wangu mimi, rafiki yangu...my everything Mdakuzi! O.M.G.... basi tu niishie hapa maana nobody knows what I feel!
KWAHERINI WAPENDWA, TUTAONANA TENA PANAPO MAJAALIWA YAKE MUNGU
Haya jamani ule wakati wa kuwaaga umewadia sasa.
Kutokana na taarifa za uhakika nilizozipata ni kwamba mwezi umeandama na kwetu sisi waislam ni ishara ya kuwa kuanzia kesho mwezi mtukufu wa Ramadhan utaanza.
Mimi kama muislam nitaungana na wenzangu katika mwezi huo mtakatifu wa toba, hivyo basi...sitokuwepo humu kwa kipindi chote hicho cha toba.
Ni furaha iliyoje kupata wasaa mwingine wa kutubu kwa yale yote mabaya niliyoyatenda?
Ila kwa namna nyingine ni huzuni maana sitowasiliana wala kushirikiana nanyi humu ndani kwa kipindi chote hicho.
Nitawamiss sana marafiki zangu atoto geniveros Ms.Lincoln cute b charty Matola Abou Saydou pwilo Shardcole unanitaka The Name asubuhi sana dawa yenu Zamaulid Diva Beyonce peterchoka victor moshi Victoire best angu mito...my uncle Zamiluni Zamiluni
Na kubwa zaidi mpenzi wangu mimi, rafiki yangu...my everything Mdakuzi! O.M.G.... basi tu niishie hapa maana nobody knows what I feel!
KWAHERINI WAPENDWA, TUTAONANA TENA PANAPO MAJAALIWA YAKE MUNGU
Hahahahaaa, sawa Ankali....Usisahau kunifuturisha walau chungu kimoja nitakupia namba pm.
Hahahahaaa, sawa Ankali....
Unakaribishwa hata vyungu vote, wewe tu.