Uo wimbo sio Wa kiba
Na mwenye wimbo kaususa baada ya kiba kutia vocal za hatari yaani kakimbia studio hajarudi mpaka Leo
nifah unakumbuka walivyomcharukia Barnaba kwa kusema ukweli huu??? Kiba alipopata tuzo wakajitia marafiki wa barnaba tena, hawapendi kabisa kuambiwa ukweli, King anajua sanaaaa habahatishi kwakweliBarnaba aliwahi kusema kua domo hajui kuimba kinachombeba ni ujanja ujanja tu lakini bado misukule yake inamsifu kua anajua kuimba!
Ndio maana huwa sishangai anavyoboronga kwenye hizo nyimbo zake...
Kiba anaimba muziki wa darasani, muziki wa note! Dah, raha sana kuwa shabiki wa King Ali Kiba.
Barnaba aliwahi kusema kua domo hajui kuimba kinachombeba ni ujanja ujanja tu lakini bado misukule yake inamsifu kua anajua kuimba!
Ndio maana huwa sishangai anavyoboronga kwenye hizo nyimbo zake...
Kiba anaimba muziki wa darasani, muziki wa note! Dah, raha sana kuwa shabiki wa King Ali Kiba.
ndio ukweli wenyewe..... tena siku hizi ndo anabolonga kabisa hadi sauti inaelekea kuwa ka ya tundaman.
Hahahahaaaaaa!! Uwiiiiii
Domo stress zinamuharbia muziki, kwa sasa kichwa chake hakijatulia mana kila akitaka kuimba anamuwaza kiba, huku wema, huku jokate, huku penny, huku wasanii wenzie waliomkacha, huku rich gang, huku shuga mami na watoto wake,huku bi kasandra, huku king kiba special thread,. Hahahahhah domo acha nyodo, ona zilivyokuponza, huna furaha, huna amani moyoni, huyo bibi bomba kakumiliki mpaka hufurukuti ona sasa!!
heheh wapi mume wa dunia anifundishie watu!
Yaani sauti za hivo za kuimbia harusini tu na kwenye vigodoro ka wale mashoga wa Chumbageni.
LOL ushaona vibration ya kuforce halafu inaishia kooni?? ndo vile mtu inabidi afanye kaa analalamika/kulia ili kasauti kaendelee
Domo stress zinamuharbia muziki, kwa sasa kichwa chake hakijatulia mana kila akitaka kuimba anamuwaza kiba, huku wema, huku jokate, huku penny, huku wasanii wenzie waliomkacha, huku rich gang, huku shuga mami na watoto wake,huku bi kasandra, huku king kiba special thread,. Hahahahhah domo acha nyodo, ona zilivyokuponza, huna furaha, huna amani moyoni, huyo bibi bomba kakumiliki mpaka hufurukuti ona sasa!!
Mpaka amalize kupiga tour state apate hela arudi akamalizie mkwanja ndio jamaa ataiachia mana katoa advance kule. Usishangae kichupa cha Yamoto Band Cheza kwa madoido kikawa kwa Tv pendwa yko kabla ya Chekutua
We jamaa sio mzima ni heri ukasherekee Ferari aliyopewa Dai na Bibi yake.
nifah nikutakie kila lililo la kheri na Mwenyezi Mungu akutie wepesi ktk mwezi huu mtukufu, nikutakie pia mfungo mwema na toba iliyo ya kweli nayo ipokelewe naye muumba, will miss you deadly.
Niwatakie pia waislamu wote mwezi mtukufu mwema hasa the king himself #kingkiba na Kiba's fans wote, love you guys
Haya jamani ule wakati wa kuwaaga umewadia sasa.
Kutokana na taarifa za uhakika nilizozipata ni kwamba mwezi umeandama na kwetu sisi waislam ni ishara ya kuwa kuanzia kesho mwezi mtukufu wa Ramadhan utaanza.
Mimi kama muislam nitaungana na wenzangu katika mwezi huo mtakatifu wa toba, hivyo basi...sitokuwepo humu kwa kipindi chote hicho cha toba.
Ni furaha iliyoje kupata wasaa mwingine wa kutubu kwa yale yote mabaya niliyoyatenda?
Ila kwa namna nyingine ni huzuni maana sitowasiliana wala kushirikiana nanyi humu ndani kwa kipindi chote hicho.
Nitawamiss sana marafiki zangu atoto geniveros Ms.Lincoln cute b charty Matola Abou Saydou pwilo Shardcole unanitaka The Name asubuhi sana dawa yenu Zamaulid Diva Beyonce peterchoka victor moshi Victoire best angu mito...my uncle Zamiluni Zamiluni
Na kubwa zaidi mpenzi wangu mimi, rafiki yangu...my everything Mdakuzi! O.M.G.... basi tu niishie hapa maana nobody knows what I feel!
KWAHERINI WAPENDWA, TUTAONANA TENA PANAPO MAJAALIWA YAKE MUNGU
nifah nikutakie kila lililo la kheri na Mwenyezi Mungu akutie wepesi ktk mwezi huu mtukufu, nikutakie pia mfungo mwema na toba iliyo ya kweli nayo ipokelewe naye muumba, will miss you deadly.
Niwatakie pia waislamu wote mwezi mtukufu mwema hasa the king himself #kingkiba na Kiba's fans wote, love you guys
Hahahahhahah asante kwa kunitaja bana mana nilitoa macho 👀👀👀👀. Nakutakia kila la heri katika mwezi huu mtukufu. Nifah