Nikakumbuka walivyotuchambaga ile isue ya chriss brown, sasa wao walivyokurupuka leo bila kujiongeza wakaingia kichwa kichwa na kujifariji, duuuh nimecheka mpaka mdogo wangu kanishangaa ikabidi nimsimulie tujiunge kichekoni, duuuuh acha wajifariji kwakweli
umeskiliza wimbo mpya wa domo kama bado usiusikilize bora hata bumbum mana utajaza nafas buree
Duuuh! Mkuu umepata wapi hizo comments? Maana sisi huku tukisema tunaitwa tuna ROHO MBAYA!
Hahaaaa nimecheka Leo Mimi domo kapost kidogo wakaanzisha maneno ya kulambisha ndimu watu, mi nilijua tu ni uzushi wa kutafta kiki hizi timu zinawafanya watu wasifikirie kabla ya kupost.
At the end wamepata aibu ya mwaka ningekua mi ningefuta comments.
Hahahahaaa, chezea tuzo 6 kati ya 7 wewe? Hapo sasa ngoja video itoke ndio watu watapanic balaaa.
Pls Kiba achia hiyo kitu kabla ya Ramadan maana utaniharibia funga yangu mie!
Siwezi kuacha kuja kusherehekea huku na nyie kabisa!
ukitaka kufaidi utamu wa nyimbo mpya ujao wa alikiba nenda insta account ya jamaa anaitwa jr.armylee....pale kuna kapande karefu kidoogo...post ya kwanza tu klick....chakula kitamu hunukia tokea mbalii

Mpaka wanatia huruma jamani, hebu wachawi tupunguze, hii ndumba imekolea zaidi
Kwenye Lamborgin la magumashi leo miye ndio nimeonekana mwanga na cha kushangaza leo watumia internet wameichukia google.
Hivi mapovu ya watu wa humu kweli ndio yatafuta previous travel record yangu? Au nahitaji kuscan passport yangu humu? Kweli leo kina Kuluthum wamefyum.
Alamsiki jamani asubuhi baniani ananihitaji kubeba box.
Baby baby baby eeee, wewe ndio wangu baby eeh, toka skuli baby eeee.......,
pop it innnnnnnnn, thats the king buanaaaa, na hiyo sauti ilivyo tamu sasa!
duu mkuu pitia na kule usome coment basi kwenye link
Hahahaaaaa!! Link ya nini kwani?
wimbo mpya wa diomond unapondwa kinoma
We waache wajifariji bwana, sasa now wataongelea nini zaidi ya kuatack watu?? Ulale unono
Jamani wale mtaa wa pili sasa jina lao tuwaite wazee wa Lambojini, cha kushangaza boss wao anajiita Dangote kabisa maana yake amevutiwa na Mnigeria na siyo Mengi wala Bakhresa ila akina sisi nifah atoto na wengine ukivutiwa na Davido unaitwa siyo mzalendo mimi naombeni tafsiri leo aliyeadopt jina la kinaijeria na sisi nani mzalendo? Swali lifike na kwa wazee wa Lambojini.