Acha kabisa best, mwaka wa 2015 ni mwaka bora kabisa kwangu maana kila ninachokishabikia kimeibuka na ushindi as follows. ...
Yanga -Bingwa wa ligi kuu
Arsenal-Bingwa wa FA
Kiba- Tuzo 7!
kama nakuona vile
Hivi tuzo za kiba ni 7 au 5? hebu nifafanulie vizuri best
nifah nimecheka nusu nizimie, hahahaaaaaa, nyooooo anunuliwa niniiiii? Yaani mwaka huuu mie najisikia rahaaaa watu acha wakurupuke huko walikokuwa wanaugulia, yaani duuuh Kiba utaua watu jamani taratibu!Kiba alipata nominations 7 katika tuzo za KTMA, katika hizo akishinda tuzo 6 ambazo moja ni ya kushirikiana yeye na FA kutokana na ule wimbo wao wa Kiboko Yangu.
Pia usisahau ana tuzo moja bado ya TUZO ZA WATU ambako alishinda kama msanii wa kiume anayependwa....
Hivyo jumla ni 7.
Kiba alipata nominations 7 katika tuzo za KTMA, katika hizo akishinda tuzo 6 ambazo moja ni ya kushirikiana yeye na FA kutokana na ule wimbo wao wa Kiboko Yangu.
Pia usisahau ana tuzo moja bado ya TUZO ZA WATU ambako alishinda kama msanii wa kiume anayependwa....
Hivyo jumla ni 7.
Aaaaah sana tu
Kiba alipata nominations 7 katika tuzo za KTMA, katika hizo akishinda tuzo 6 ambazo moja ni ya kushirikiana yeye na FA kutokana na ule wimbo wao wa Kiboko Yangu.
Pia usisahau ana tuzo moja bado ya TUZO ZA WATU ambako alishinda kama msanii wa kiume anayependwa....
Hivyo jumla ni 7.
nifah nimecheka nusu nizimie, hahahaaaaaa, nyooooo anunuliwa niniiiii? Yaani mwaka huuu mie najisikia rahaaaa watu acha wakurupuke huko walikokuwa wanaugulia, yaani duuuh Kiba utaua watu jamani taratibu!
Jamani kuna huu mtandao wa news huko Kenya wanasema vitu vya uongo sana...Ali Kiba outshines Diamond at Kilimanjaro awards | Nairobi News
tusubirie video tu
Na itatoka wiki hii hii nadhani.
wameandika uongo mtupu wale jamaa mkuu et ali kiba kachukua video bora no
cheketua video itakuwa best
Hahahahaaa, ndio maana hizi habari za kwenye mitandao zisizokua na source ya kuaminika hua siziamini kabisa
Hahahahaaa, babe kanunuliwa gariiii.
Sasa wale wazee wa kukurupuka acha wakurupuke na ndimu..lol
Ila sio kosa lao, wale wana stress sasa linapotokea jambo dogo wanalikuza kama faraja kwao.
umeskiliza wimbo mpya wa domo kama bado usiusikilize bora hata bumbum mana utajaza nafas buree
Nikakumbuka walivyotuchambaga ile isue ya chriss brown, sasa wao walivyokurupuka leo bila kujiongeza wakaingia kichwa kichwa na kujifariji, duuuh nimecheka mpaka mdogo wangu kanishangaa ikabidi nimsimulie tujiunge kichekoni, duuuuh acha wajifariji kwakweli
Hahahaaaaaa!! Yeleuwiiiiiiii hizi colabo zitatoa watu roho sasa, kukurupuka kubayaaaa