Tuko poa, hatuna habareeee.
Zetu kazi wao mapovu.Tuko kwenye campaign ya kuwapigia kura akina Davido, Vanessa, Mr. Flavour na Wizkid.
Hahahahaaa, ila kuwa tu mkweli...Nyie mmezidi.
Tena mkishajua watu wameiponda mnarekebisha kama nasema nawe ikabidi bibie Khadija atafute ili wimbo unoge kidogo.
Sista unazidi ule wa wife wa dunia? huu wimbo kwangu ni shiidaaa!! can't wait to see its video
cc nifah
Jamani kuna huu mtandao wa news huko Kenya wanasema vitu vya uongo sana...Ali Kiba outshines Diamond at Kilimanjaro awards | Nairobi News
Habari zenu humu...mkimuona mtani mwambieni na mtafuta...
KING hana mchezo kabisa kwa maajabu aliyofanya usiku wa KTMA2015...yani kanifukuzia kabisa ile mtu inaitwa Kendrick humu ndani.
Nilibanwa banwa hapo kati best, nikawa nachungulia tu na kukimbia, nilikuchungulia kidogo kwenye ule uzi wako wa awards za Kili kuna mahali nilikusoma khaaa kidogo nijitokeze kwani kidogo uzalendo unishinde kwa ile comment yako, manake nilicheka mpaka nikatamani nikustue!! sema sasa ndo nilikuwa hi hi nikakimbia
Unakumbuka ulisemaje kuhusu kwanini Fetty ametulia sehemu moja hazunguki zunguki??? aaaaaah we best weweee loh!!!
Nilikumiss mtaniMtani niko hapa unasemaje? Ushapiga kura lkn au mnasubiri mumyafute mchawi tena? Teh teh teh
Nilikumiss mtani
Mimi tena
Mtani nimepiga kabisa..basi na wewe piga japo moja hata kwa siri! Lakini kijana atarudi na tunzo !
Mtani ukimuona nifah mwambie namtafuta!
Hahahahaaa, alikua anaogopa kugeuka flat screen isionekane. ..lol
Pole na majukumu best, hope kila kitu kiko poa kabisa.
Weee hazizidiani maana zote ni kaliiii, wife wa dunia kwakweli haukupaswa kupotea hivihivi jamani, mtamu mnoooo(khaaa upi sasa sio mtamu) King jamani khaaaaa umezidi bwana, sio kwa utunzi huu jamani
Halafu nyimbo zake ndefu, kama huo wa wife wa dunia nadhani kuna NANA mbili humo!!
Mioyo baridiiiii tunacheketua tu
Mioyo baridiiiii tunacheketua tu
Hahaaaaa we noma best
Kila kitu kiko poa kwa kweli best, ni majukumu ya kawaida tu ya maisha
Hongera kwa tuzo za Kiba, manake ulivyojimwaya mwaya siku ile sipati picha kabisa