upo mkuu sio mzuri ndo maaana hajaupigia promo unaitwa nakupenda ukiachana na bumbum mwezi mmoja nyimbo nne 1.mapenzi pesa 2.nana 3.nakupenda 4.na huo mpya wa leo KING KIBAAA utawafanya watu waimbe hadi hiphop
Kwani ule wimbo aliotoa siku 2 sijui 3 (ft. Iyanya) baada ya kutoka kwa ule alioshirikiana na Mr. Flavour ni wa nani?
halafu we msengerema usiniite mimi phir sawa huku ni kwa kiba niache niandike kitu kinachonifurahisha nyambafuu hilo tangazo lako la wimbo mpya peleka kulee kwa domo sawa pop it yooooooooo kiba2
Kuna ambao ulivuja nitakukumbuka I thk
Hii trick yenu tumeshaijua zamaaaani.Mnavujisha wimbo halafu mnaangalia muitikio ukoje...
Kama nasema nawe vile..
Hahahahaa.
Mbona na nyi mliiga na kuvujisha 2 baada ya Mwana watu wakazitia kapuni low standard haha
nasema hivi mkuu huyu mtoto angekuwa wa diomond na misifa aliyonayo sijui ingekuaje sema hamna haja ya DNA point yangu ni kwamba domo asipobadilika atamfuata mr nice rombo wakanywe wote mbegeHii trick yenu tumeshaijua zamaaaani.Mnavujisha wimbo halafu mnaangalia muitikio ukoje...
Kama nasema nawe vile..
Hahahahaa.
Hahahahaaa, ila kuwa tu mkweli...Nyie mmezidi.
Tena mkishajua watu wameiponda mnarekebisha kama nasema nawe ikabidi bibie Khadija atafute ili wimbo unoge kidogo.
:sly::sly::sly::sly:
Hey!.."MY FAVOURITE STRONGESTEAMKIBA ALL TOGETHER",vip mko poa jamani?
yeah! Tuko poa, umepotea
Thread inakwenda mchaka mchaka hadi siamini.
Mwaka huu wenu mkubali, mkatae.
Jamani ulikua wapi best? Nina siku tatu sijakuona humu.
Hey!.."MY FAVOURITE STRONGESTEAMKIBA ALL TOGETHER",vip mko poa jamani?