BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,809
- 5,779
sasa mkuu ratiba c hata watoto wa shule ya msingi wanayo au mmeshindwa kwenye tuzo mnaanza kupambanisha ratiba haya vote for wizkidayo
Zake ngapi au unakurupuka tu. Tumia akili sometmz
Vote ww kwa Wizkid mana akichukua tuzo atasema asante watanzania kwa kura zenu
zote zake kwani yy hajaimba au na kuna ya p2 bado ndo mwisho ataimba taarabu kabisaa
Kwaio nyimbo ya FA ft Kiba - kiboko yangu niya kiba? Au unandika andika tu ujinga ilimradi usomeke?
Mbona nyie zile tuzo za mwaka jana mnahesabu 7 ilhali tuzo za domo ni 6? Tuzo ya wimbo bora wa KUSHIRIKIANA ni ya wote maana wameshiriki katika wimbo.
Ndio maana domo mwaka huu ana tuzo 2 tu, ile moja ya Prof. Jay ni ya wimbo bora wa Hip Hop...
Mambo madogo kama haya yanakushinda kazi kutokwa povu tu!
Alikiba yupo juu jaman na yy ndo alimtambulisha kwa bob junior alikiba piga kazi mwanangu
Kwaio nyimbo ya FA ft Kiba - kiboko yangu niya kiba? Au unandika andika tu ujinga ilimradi usomeke?
Kwenye awards nyimbo ya kushirikana inahesabika kama ya wote sawa bt huyu phiru ubishi wang na yy ni kua diamond ka release nyimbo 3 sijui ndan ya mwez 1 kitu ambacho sio. Katoa nyimbo 1 yke bt collaboration 2 na Iyanya na Kcee sio ngoma zke.
Mbona nyie zile tuzo za mwaka jana mnahesabu 7 ilhali tuzo za domo ni 6? Tuzo ya wimbo bora wa KUSHIRIKIANA ni ya wote maana wameshiriki katika wimbo.
Ndio maana domo mwaka huu ana tuzo 2 tu, ile moja ya Prof. Jay ni ya wimbo bora wa Hip Hop...
Mambo madogo kama haya yanakushinda kazi kutokwa povu tu!
c ndo mi mwenyewe nashangaa yani hajui anachozungumzab vote for wizkidayo hfu nenda insta kule kwa dada yake kiba kuna nyimbo zabibu kaiweka kipande ni xidaaa KING KIBAAA
Sasa mmemponda chibu vya kutosha......hamishieni jitihada zenu kwenye kumshauri kiba afanye nini ili apate japo kua nominated kwenye tuzo za kimataifa
Kwenye awards nyimbo ya kushirikana inahesabika kama ya wote sawa bt huyu phiru ubishi wang na yy ni kua diamond ka release nyimbo 3 sijui ndan ya mwez 1 kitu ambacho sio. Katoa nyimbo 1 yke bt collaboration 2 na Iyanya na Kcee sio ngoma zke.
Kwani ule wimbo aliotoa siku 2 sijui 3 (ft. Iyanya) baada ya kutoka kwa ule alioshirikiana na Mr. Flavour ni wa nani?
c ndo mi mwenyewe nashangaa yani hajui anachozungumzab vote for wizkidayo hfu nenda insta kule kwa dada yake kiba kuna nyimbo zabibu kaiweka kipande ni xidaaa KING KIBAAA
Mweeee kuna wimbo katoa na iyanya tena!!! Ndio nazipata hizi habari kwako
Sasa mmemponda chibu vya kutosha......hamishieni jitihada zenu kwenye kumshauri kiba afanye nini ili apate japo kua nominated kwenye tuzo za kimataifa
Yaani kawimbo katamuuuu hakoo, acha tu nimpende(simshabikii tu) King Kiba