Eti Kiba hafikirii kwenda international yeye ana zaa zaaa tu ndo ajuavyo.
Wanawake wote alio wa date ni makombo loh.
Nimeamini ukimya ni hekima kauli za kuwachamba mashabiki zimemtokea puani.
Wamevurugwa hatari, heheeeeiiiyaaaa!! Mpaka babu yao chinga anatapatapa kuleeeee, haamini majicho yake, ye anadhani wao walivyomgeuka Kiba na kuanza kumtusi rahaaaaaaaa!!! I love is tanzania(in shishi's voice)