Teh teh teh, wenzio wanaona maborit ya kwenye macho ya wenzao tuuuuuuuuu!!
mkuu yani point zao ni weak et bumbum nao ni wimbo duuuuu ngoja tuone huko sasa c ktma wamemuonea haya ngoja huko tuone itakuaje
Wakwende huko!
mkuu yani point zao ni weak et bumbum nao ni wimbo duuuuu ngoja tuone huko sasa c ktma wamemuonea haya ngoja huko tuone itakuaje
😀😀😀😀😀😀😀 pop it in kiba voice papireeeee yoooo dah mwakani ni nasema nawe(taarabu vs cheketua) cpat picha
Point zao ni wanaonewa wivu. Watanzania wana chuki na mafanikio yake wanataka kumshusha kinguvu.
Hivi ka ni wivu na chuki si watu wangemuonea Bakharesa sana.
Hoja zao mfu.
Point zao ni wanaonewa wivu. Watanzania wana chuki na mafanikio yake wanataka kumshusha kinguvu.
Hivi ka ni wivu na chuki si watu wangemuonea Bakharesa sana.
Hoja zao mfu.
Na hicho wanachotulaumu nacho ndicho hicho hicho wanafanya kwa kiba sasa sijui wanataka nn tena!
Mpaka walitumia picha ya kiba yenye code za ndomo kumuombea ndomo kura ili wampiku Kiba lkn Mungu kawaumbua, pyeeeeeeee!
mkuuu yule domo kachanganyikiwa unajua hadi kapika ugali cku ya ktma hana hamu ya pilau wala ubwabwa 😀😀😀😀😀😀😀 KING KIBAAA
Weeeee tema mate chini, cheketua sio ya kuupambanisha na hiyo taarabu kabisaaaaa!!! Hiyo iende kwa kina mzee yusuf hukoo, cheketua level nyingine kabisa.
Mimi nimeamuwa kuwa msomaji tu na kucheka tu.
Hunishangaza sana hii timu kutwa kumtukana Kiba eti maskini bifu na diamond limempandisha.
Wao watu wasipowasifia ni wivu chuki na husda.Kuwa timu yao hawafikirii mbali zaidi ya wivu.
Bora ukikosa wa Ku support bora hata Yamoto kuanzia Zari domo wote wana andika pumba tu.
Ila ww Dada unampenda kiba haswaaaaa!!"
Vizuri vyao vibaya vyote vya Kiba na wapenzi wake, sasa wao wa ntaneshino Kiba anawauma nini? Wamuache na umasikini wake, kwani lini alikwenda kula kwao?
Hii timu bwana ina vituko matusi ndo hoja zao za msingi. Kila tuzo wapokee wao wasifiwe wao wakikosolewa wataka kushushwa yani ni majaaanga tupu.
Nilimuona tu usoni wakati anapika ugali wake na Zari yani ana stress za kufa mtu hana furaha kabisa. Pole yake sasa aanze kupika kauzu atie na ndimu.
Hahahaaaaa watu wana vituko jamani khaaa!
Hahahahaaa, hata mimi nililiona hilo ujue? Ule ugali unaosongwa huku uso umekunjwa vile sijui ugali gani.
Mwenzangu I feel sorry for him. Yani ukiwa na roho nyepesi una ugua kabisa na ile picha waliyo piga kwenye sofa na bibie yuko normal ila dai hana furaha kabisa hadi nikaona huruma.
Team yake na matusi ndo wanazidi kuharibu kabisa.