lini tena kuna kupiga kura jamani nianze tena
Avemaria umenifurahishaaaaa, ngoja nami nikatafute picha moja matataaa ya king nitupie avatar, pop it innnnnnn
Mimi napndekeza hii
Mimi napndekeza hii
Aiseeee, huyo mtu mpeni hongera zake, sio kwa uchoraji huu maana nimetamani hata nimtafute anichoree mtu wangu fulani hivi....
Hahahaaaa na hii ni mambo ya dallas, hii sebule noma
Hahahaaaa na hii ni mambo ya dallas, hii sebule noma
Hahahaaaa na hii ni mambo ya dallas, hii sebule noma
Hahaaa wanakosaga la kusema basi hawa. Hii sebuleni ni hatari na kuna watu kumi.
mavi yakoooo
Hahahaaaa na hii ni mambo ya dallas, hii sebule noma
Sebule hii noma, kuna watu wawili tu hapo kamebana mnooo, hapo king itakuwa alilipwa elfu kumi tu kwakweli ukijumlisha na zile tuzo alizodhulumu wenzie ndio balaa tupuuu, muone vile KING mkubwa weee!
Sebule hii noma, kuna watu wawili tu hapo kamebana mnooo, hapo king itakuwa alilipwa elfu kumi tu kwakweli ukijumlisha na zile tuzo alizodhulumu wenzie ndio balaa tupuuu, muone vile KING mkubwa weee!
Mamii mavi yangu niliyaandaa kwenda kumsaidia yule juha kunya si kaniangusha bwana maana kaishia kujiharishia tuu huko kwao bado anafanya usafi, teh teh teh
Jamani hiyo sebule inayochukua watu wengi hivyo ina ukubwa gani? Tujuzeni wenzenu tujue masebule ya wenzetu atiiii...
Hahaaàa hata hao wawili mbona kaimbia chumbani kabisa. Hafu Kiba mbaya huyo kuchukua tuzo nyingi ili amshushe jamaaa ana chuki ka nini yani.
Hahahahaaa uwiiii! Elfu 10 nyingi hivyooo? Elfu 5 tu ndio saizi ya huyo the so called King Kiba!
sorry nlitaka niwambie team mondi mavi yaoooooo