Awa watu siamini kama ni mashabiki wa Ali kiba awa ni haters wa Diamond waliojificha kwenye mgongo wa Kiba. Kiba hawezi kujivunia watu kama awa coz ata yeye akichana anga lazima watamchukia ata kutamani kumroga.
Hahahahahah piga piga piga kura mamaa mpigie davido na wizkid mamaa bundle ni yako as long as inakupa relief kdg. Duh pole sana.
Amna usimba na uyanga mkuu ni watu fulani wachache hawajiewi hivi kiba akiwa nominated mashabiki wa Chibu hawatamsapot? Sio wote wanaojiita team kiba wanamapenz na kiba wengine ni haters tu wa Chibu and vice versa.
Tokaaa, leo ndio unajua kama kuna watu hawajielewi? Wewe unajielewa?
Unadhani tumesahau ile thread yako ya kipuuzi uliyoileta juzikati kuhusu Kiba?
Kweli nyani halioni....... kabisa!
Yaani zilete mama apa tujipongeze hizi team nyok.olo lazma zijambe cheche
Tokaaa, leo ndio unajua kama kuna watu hawajielewi? Wewe unajielewa?
Unadhani tumesahau ile thread yako ya kipuuzi uliyoileta juzikati kuhusu Kiba?
Kweli nyani halioni....... kabisa!
nifah niombee bhana huu mchepuko wangu davido achukue bhana.
Yaan nimepiga kura adi na hanganyikiwa.
Domo haambulii kitu
Haya nimeshamaliza.
Mmmh kweli mtanzania ni mtanzania tuu saa cjui davido akishinda ww unapata nini...mm tim kiba ila huu upuuzi siufany maisha
Kumbe huyu ndiye aliyeleta thread ya kiba kamzidi shilole show yake ya America?
Kwendraaa zako mwenye akili ni mimi shauri yako wew mbumbumbu. Afu haikuhusuu tembeza kengele zako uzi wa domo upo karatu kaufuate.
Nimecheka mimi... Yaani Nimecheka mpaka naonekana mwehu.. Bibie mbona mkali hivyo..teh teh teh.. Ujue mi nakupendea hapo tu...!!
Sipati picha jamaa alivyotimua na kengere zisizotoa sauti Daaaaah hatareee sana
BACK TANGANYIKA

Hahahaaa mkuu sio ukali kuna watu kengele sijui zinawawasha wana uchu wa kushauri adi wanapitiliza.
Mzima wew mkuu? Nimekumis ujue
Ndio yeye, halafu mshangae pumba anazosema hapa sasa...
Ni anajikaanga na mafuta yake mwenyewe.
Anahitaji mind liberation