nifah hivi huyu mama ni anaumwa au kibuti kimemchanganya. Sijauelewa vizuri ubuyu wa anko saleh
Tutaaandamanaaa urudiiiii!
Chezeya serengeti boy wewe!
Mpaka unachanganyikiwa, kulia huwezi, kucheka huwezi.....
Unabaki kupigiwa debe na dadako tu....kweli mama rahisi kapatikana
Hahahahaaa, sio ajabu mwenzangu ndio maana mama aliumwa kapelekwa hadi India ugonjwa hauonekani!
Uwiiiii nimechekaje wanavyobembeleza?
Kaaaaazi kweli kweli aachane na viserengeti boy vitamzalilisha bure na kumtia pressure na utu uzima wote huo ukute hata ndo yeye alifanya huo mchongo wa kumu record.
Yani hadi huruma aisee atafte size yake hadi ameumwa mweeeh.
Shoga sijui tuungane tumpigie mama kampeni ya kurudisha dogodogo?
Maana walivyokua wanabembeleza hadi huruma! Tu act basi kama wanawake jamani, tuwasapoti mama zetu na kilio chao..lol
Wewe unaongelea kurekodiwa sauti tu? Mama nasikia kuna hadi saxe tape shoga.
Ni just a matter of time tu watu wakiamua wataitoa.
Ila kwahiyo sitolisapoti, bora tucheke kwa hizi sauti tu.
Siko tayari kuangalia video ya mama mtu mzima yule, siwezi kabisa!
Na wailikishe tu bhana aaah kwani nini!!!Wafuasi wao wakati wanamuedit mama Wema wakamuweka uchi waliona fahari mama wa watu kuchekwa na kutukanwa eeeh??!! Heheh aibu yao meeen! Hizi team ni raha tu akiwa anadhalilishwa mpinzani wako ila siku jumba bovu likikuangukia maweee utatamani iwe ndoto!Halafu mie naona ka le ngonokaring iziko to le ukooz karakta maana mmmmh mtoto anahenya na nyuchi tu bila kubagua.....mama nae kutwa kucha na jang'ombe za vidogo dogo! Ayiiii nashindwa nashindwa niseme nini nashindwa nashindwa!Wewe unaongelea kurekodiwa sauti tu? Mama nasikia kuna hadi saxe tape shoga.Ni just a matter of time tu watu wakiamua wataitoa.Ila kwahiyo sitolisapoti, bora tucheke kwa hizi sauti tu.Siko tayari kuangalia video ya mama mtu mzima yule, siwezi kabisa!
Mahaba niporomoshe nikafie mlima kitonga mie uwiiiiSijali mimi sijali mwenzenu japo voouuz limeanza kuota mvi.....lakini ntafanyaje sasa utamu wa halua ndo ushaniingia mpaka kumooooyo!! LolTutaaandamanaaa urudiiiii!Chezeya serengeti boy wewe!Mpaka unachanganyikiwa, kulia huwezi, kucheka huwezi.....Unabaki kupigiwa debe na dadako tu....kweli mama rahisi kapatikana
jamani eeee nilalilala kumbe ubuyu mtamu wa zanzibar
helooooo
yani@avemaria@nifah@Ms Lincoln@Diva Beyonce hamjui tu jana nimekosaje utamu huuu dahhh
mtu mzima kashindwa kuvumilia eee
Mahaba niporomoshe nikafie mlima kitonga mie uwiiiiSijali mimi sijali mwenzenu japo voouuz limeanza kuota mvi.....lakini ntafanyaje sasa utamu wa halua ndo ushaniingia mpaka kumooooyo!! Lol
Jamani inabidi tuanze kampeni ya kumsihi shemeji arudi kwa mama, maana mama anateseka sanaaa.
#Bringbackourbaby
Jamani inabidi tuanze kampeni ya kumsihi shemeji arudi kwa mama, maana mama anateseka sanaaa.
#Bringbackourbaby
jamani eeee nilalilala kumbe ubuyu mtamu wa zanzibar
helooooo
yani@avemaria@nifah@Ms Lincoln@Diva Beyonce hamjui tu jana nimekosaje utamu huuu dahhh
mtu mzima kashindwa kuvumilia eee
usibishane nae huyu kichwa maji
hhhahhhaa arudi tu labda atapona maradhi yake!
bi mkubwa hoiiii
watu kama wale ni wakuwapotezea tu. #kingkiba juu