Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Alafu ashaona ni fashen hii ni mara ya pili anatuandika kwani hawezi kufungua uzi bila kutu mention?..ana boaa
Anategemea watu tutaenda pale kupambana.
Afu kumbe adi wew ume tajwa polee
Alizani anaweza kutembelea nyota za watu ili ajulikane.
Sisi ndo kiba fans bhaaana kama anatafuta umaarufu jf aandike habari za kiba na sio sisi..
Hapa sio mahali pake
Hahahahaaaaa uzi ushafutwa chezeaaa.....
Tatizo sio kufutwa mods angei emerge I'd maana huyo anatumia multiple I'd ndo ingekua fundisho. Kufuta tu sio solution angemuunganishia id's zake.
cute b naomba utuondolee hichi kirusi cha ebola
tunaomba umuondoe zingifuri harakaa anaharibu usalama wengne hatuwez kujizuiya
Ujue huyu mtu itakuwa kuna trick anatumia hatumii divice moja ku log in... itakuwa yake ya siku zake anatumia simu na hii anaoandikia upuuz wake anatumia computa na ndo maana anaingia siku moja kwa mwezi sasa kwa mods kugundua inakuwa ni tabu.
Huyo kwa Ku connect tu mwandiko ni ana I'd Tatu hyo zingifuri ndo anatumia kutukana watu jf hizo nyingine mbili ya MMU na jukwaani kujifanya mwema. Hana tofauti na pepo na anatabia za kiswahili. Mi shamgundua hafu anaendaga na kwa sintah kutukana watu.
Kuna watu uelewa wao mdogo mno hasa hyo timu wanaume wana act ka wanawake.
Ujue huyu mtu itakuwa kuna trick anatumia hatumii divice moja ku log in... itakuwa yake ya siku zake anatumia simu na hii anaoandikia upuuz wake anatumia computa na ndo maana anaingia siku moja kwa mwezi sasa kwa mods kugundua inakuwa ni tabu.
Mods wana mvumilia tuu kama wanavyo wavumilia wengine....soon atavuliwa nguo...wakimchoka...na huto amini kama ni yeye! Wana muhesabia tuu na lazima wamesha muonya....akiendelea utajionea...! Hakuna mjanja wa kuwazidi mods hapa!
Kuna watu walikuwa hadi wana jianzishia thread kuwa wamekufa lakini mods waka wavua nguo..ilikuwa ni aibu na fedheha kubwa...hadi leo huwa najiuliza kwanini alifanya vile...daaa ! Huyo dawa yake ina chemka!

Haya sasa Avemaria Honey Faith huu ndio umbea uliokua instagram kwa ufupi.
Teh teh Expensive post
©Gud Night !
Namtafuta mzee wa njiwa simuoni jamani au kala ban hahahahaha!!