Ali Kiba Fans' Special Thread...

Jamani picha za king k kwenye show zipo wap?????
Nataka nione, nimuone king akiwa huko kwa obama
 
Kapendezaje sasa? Uwiiiiii.Halafu nimeshatoka huko nilitaka nitembelee na kwa chibu nikaangalie watu wanamchambaje kuhusu mamie na serengeti wake!

Jamani king nyie mwacheni tu, nguo imetuliaaa mwilini na viambatanisho vimechangia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…