Ali Kiba Fans' Special Thread...

safi mkuu kwa mapenzi yako kwa KING KIBA

Yaani pale kwa kiba sifurukuti...
Vip nipe mrejesho huyo bweha kaja tena kupost ushuz? Maan mimi na yeye ndo basi tena hatuonani
 
Tatizo hawana ustaarabu na kuheshimu wengine basi na mambo ya kitoto yana wasumbua hyo ndo dawa yao.

Unauliza ustaarabu pale tena!!! Watuache na King wetu bwana, kwani nani kawashikia panga wamshabikie???
 
Watu watatu wanachat tangu asubuhi mpaka jioni hii, u jobless tatizo. Mungu wapatie ajira hawa shetani anawafundisha matusi.
 
Watu watatu wanachat tangu asubuhi mpaka jioni hii, u jobless tatizo. Mungu wapatie ajira hawa shetani anawafundisha matusi.

Wewe naye waki chart wewe una washwa nini? Una kihede mswede ka mke wa balozi na mshakunaku mkubwa.
Kisonokono wewe unamjua shetani wewe:what::what:😱😱😀
 
Wewe naye waki chart wewe una washwa nini? Una kihede mswede ka mke wa balozi na mshakunaku mkubwa.
Kisonokono wewe unamjua shetani wewe:what::what:😱😱😀

Just keep on ignoring them my dear, na ukizingatia hakuna anayemlisha humu wala kumuomba pa kulala! Walaaaa usipoteze nao muda, lets enjoy the gud music from the King himself.
 
Just keep on ignoring them my dear, na ukizingatia hakuna anayemlisha humu wala kumuomba pa kulala! Walaaaa usipoteze nao muda, lets enjoy the gud music from the King himself.

Nishafanya yangu yaani maana huyu ni safura tuu atatuletea minyoo humu
 
Attachments

  • 1433784861842.jpg
    6.9 KB · Views: 78
Tena sasa hvi wanavoanzisha nyuzi kuhusu Kiba kutaka league mi ndo kabisa sijihangaishi.

Hahahaaa bora ata shost mimi mwenyew napita kama sioni mijinga kweli imezoea kiki kutoka kwa kiba fans ndo tumewapuuzi nyuzi zao zimepwaya haswaaa
 
Yaani pale kwa kiba sifurukuti...
Vip nipe mrejesho huyo bweha kaja tena kupost ushuz? Maan mimi na yeye ndo basi tena hatuonani

nashukuru kwa kuniondolea kedrick simuoni tenah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…