Mchiwa Ng'ambaku
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 959
- 803
Sisi tunatumia Tecno mjomba nyie wenye mainternationale respected devices muwe mnatuhabarisha tu sio mbaya.
Si unajua sie bado tupo local level....aaaah mjombaaa!!!
Hivi kwanini team kiba wengi wao,wanakuwaga na hasira na matusi sana kama mashabiki wa simba na manchester united?[/QUOT
stress zinawasumbua sana hii team
Hizo ni baadhi ya stations chache za kimataifa zinapiga video za king wa bongo au muimbaji bora wa kiume Tanzania nzima
Msanii ambaye ana miaka zaidi ya 15+ kwenye game mashabiki wake leo wanasherehekea msanii wao video yake kuchezwa kwenye chanels za nje( japo imekaa kama photoshop) wakati DIAMOND aliye kwenye GAME MIAKA 5 TU LAKINI VIDEO ZAKE KUCHEZWA NJE NI JAMBO LA KAWAIDA SANA
Hizo ni baadhi ya stations chache za kimataifa zinapiga video za king wa bongo au muimbaji bora wa kiume Tanzania nzima
Ashukuriwe Diamond kwa kumwamsha usingizini Ally Kiba...
Al the best katika show zake, ana sauti nzuri sana hiyo ni moja ya asset zake. Twasubiri mipicha