Wengi walikua wana msakamata eti na topic zake mbovu ukute waka mreport mweeh. Na yule huwa hana shida na mtu naona wenye mtazamo tofsuti naye ni shiider.
Kiba kanikosha mno Leo wanga sijui watasema nini Leo.
Mkuu mbona unavunja sheria....leo sio siku ya kudeal na mental cases.
Ndo maana kwa vichaa wote tunawapa fungulia dogi.....acha waokote makopo mpaka wachoke! Sie tuendelee na biznee zetu.