Jamani kwanza kabda hamjaanza kutupa matusi..mimi sina team..mimi team good music aka mziki mzuri..either ali kiba,diamond,tid,Bella- ,jd ,sijui nani kama music is good i will support..Tatizo kubwa- la kwanza linalomfanya Ali kiba kutokendelea ni kutwa kushindana na diamond yani nimegundua anatumia muda mwingi kushindana na diamond ..
Trust me this- boy has talent kama muda mwingi ange invest kujifanyia kazi zake na kuboresha art yake angefika mbali. .
Nikiongelea kuboresha I mean
Great management behind him sio uswahili wake wa kuleta ujanja ujanja
Na kujifanya yeye na mdogo wake ndo ma meneja ..mfano video ya mwana
Kakulupuka video imemla pesa nyingi lakini mpaka sasa hivi ile pesa aliyotumia
Kwa video haijarudi. .video yenyewe kaibiwa tu ili imradi na yeye aonekane kafanyiwa na god father ..wakati AJ angeweza kutoka a better video..hii inaonesha jinsi gani kipimo Chao ni diamond yani watu walio behind wanamjaza. .mwisho but not least Aache kufanya mziki na Abdu kiba- najua ni mdogo wake ila dogo hana sauti ana force sana kipaji hana atafute means nyingine ya kuishi na sio kuimba ..
- Ntalejea or to be continued with more .