Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ndio hivyo mambo ya Kiba hua hapendi kuanika mambo yake.
Ipo siku watu watashinda ndani week na JF watakua wanaingia kama guests kutokana na mabalaa atakayoyafanya King.

Hahahaahah kama nawaona watoka povu, video tatu ndani Ya mwezi na zote za kawaaaaidaaaaa! Anajitahid kuzipromoti lakin zinadoda tu
 
Hahahaahah kama nawaona watoka povu, video tatu ndani Ya mwezi na zote za kawaaaaidaaaaa! Anajitahid kuzipromoti lakin zinadoda tu

Hahahahaaa wewe ngoja tu tutajionea vituko mwaka huu.
 
Hahahaahah kama nawaona watoka povu, video tatu ndani Ya mwezi na zote za kawaaaaidaaaaa! Anajitahid kuzipromoti lakin zinadoda tu

Hahahaha mkuu huu ni ukweli mchungu ambao jirani zetu hawawezi kuukubali
 
Hahahaahah kama nawaona watoka povu, video tatu ndani Ya mwezi na zote za kawaaaaidaaaaa! Anajitahid kuzipromoti lakin zinadoda tu

Tatizo sijui hana washauri watu wamezichoka na kuziona video zile zile. Akitoa wimbo awe anasubiria kwanza upate air time ya kutosha kutoa mfululizo naona anapotea.
 
Dah kweli mfalme ni mfalme tu, sio zile video 2 zilizochuja kwa siku 3 khaaaaah

Hahaaa walikua wanadai hana hela ya ku shoot video. Sasa ku release mbili hakujazipa video kupata airtime na watu wamezizoea.
 
Mwana dar iko poa sana video safi, tatizo ushamba umekujaa unataka kitu kinachoimbwa ndo kionekane

Ushamba mzigoo wa miiba, wanajulia wapi? Washazoea kuona watu wanafuatana na kukimbizana barabarani basi kwao huo ndio ubunifu na ndio video bora, hata aina za video hawazijui kazi kubwabwaja tuuuu!! Sikio la kufa hawa!
 
Hahaaa walikua wanadai hana hela ya ku shoot video. Sasa ku release mbili hakujazipa video kupata airtime na watu wamezizoea.

Unadhani watakosa la kusema?? Subiri utasikia "kapanik" hahaaaaaaa watu bwana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…