ranchoddas
Senior Member
- Mar 27, 2015
- 114
- 56
Stress zako peleka mbele huko na magazeti yako, who told you nahitaji ushauri wako usokuwa na miguu wala kichwa huo, hv kwa mfano ungeeleza vzr tu km alivyoeleza rutta ungepungukiwa nn, au ndio unataka uonekane unajua sn? Ovyooooooo, ptuuuuu!
Watu wana mipasho eeh kura tu zinamtoa roho yanini? Si ukatafute mtu akakunanihii. ......... Hata mie naweza aunty
We nawe sijui umekurupukia wapi shosti!!! Viroba vyako kanywee mbele huko, eti simple minded my ass, nhfddjgdtuyhgdsshj yako weee!
#AliKiba si mwanamuziki, period. Hajuwi kuimba ila ana sauti nzuri ambayo itamsaidia akijiunga na bendi ila fleva anajisumbua tu.
Ukwel kuukubal mgumu anyway sina nia ya ugomvi wala mabishano kwan kila mtu analelewa na tabia za wazaz wake na hata akipata mtu kumfundisha hatakubal. Nimekufahamisha kuwa kura moja yako inatosha kwa kipengele kimoja huo unaofanya ni ujinga na ni dhambi na mwanzo wa udhulumu hutaridhika na mpaka udhulumu mm huwa sistaajabu kuskia tz kila mtu fisadi anadhulumu sistaajabu kwan na ww unageuka fisadi kwenye kura ambacho ni kitu kidogo tu? Je upewe kitengo benki kuu? Nafkiri umenifaham take it or leave it. aliyeiba hela za escrow alianza km ww. Simple minded can't answer the question with facts they will answer with idiotics idea. Haya kalale
Watu wana mipasho eeh kura tu zinamtoa roho yanini? Si ukatafute mtu akakunanihii. ......... Hata mie naweza aunty
Bora umemjibu nilijua utamkopesha kopesha.
Mama kura zote ikishakurudishia jibu kuwa imepokelewa iyo imefika na ita hesabiwa
Si ushapiga moja ama miTZ akili mbovu yaan mtu anapiga kura 4 kwa kipengele hii si haki na ni ujinga kabisa nauona ktk maisha yang anyway simple minded hivi ndo wanavofkiri km ipo ipo tu haiba haja ya kutumia njia zisizo na busara wala haki
Yaani kila lijinga linalokuja uku kwenye king family inazunguka mbuyuu lakini mwisho wa siku ni papuch anaomba...
Kabake beberu nyooooko wew. Ulichoona dhambi ni kupiga kura mara 2 unzinzi sio dhambi? Umeoza na ndo maana nasikia harufu chafu.
Sijui alikurupukia wapi mwanaharamu yule looh!! Angetoa tu ushauri vzr asingeeleweka mpaka ajitie ujuaji??
Hapa cha msingi ni kutumia simu tofauti i think, na line zilizosajiliw tofauti km wanatrace
Hamna kitu kama icho mamy.
Mimi nishapeleleza na nina mtu pale ameniambia kura ikishaingia imeingia otherwise labla kama haijakurudishia majibu..
Ingekuwa ni ivyo wangekuwa wanakutumia ujumbe kuwa haruhusiwi kurudia.
Keep on voting mamy
Hiviii ni kura moja per day au ukishavote maramoja ndio kwishney mana nashindwa kuelewa hapo
Ukishavote mara moja ndo basi. Unatafuta line nyingine mamy
Now i get it!! Basi nishajua cha kufanya km ndio hivyo
Wakiku trace kura itakayo hesabika ni moja tuu...maana wanajua fika watu watafanya hivyo pia code ya simu,jina la mtu,location...! ...
Ukishavote mara moja ndo basi. Unatafuta line nyingine mamy
Mauzo ya line yatapanda ghafla. Habari ya sasa ni Chibu na Lowassa.
Kwenye thread ya Kiba!!