Yeah line zote jina ni moja, kwahiyo ndio siruhusiwi tena kupiga kura? Maana tokea jana ndio kwanza naanza kupiga kura najibiwa nishapiga kura nikachoka mwili na roho
Duh, pole sana bibie.
Hata sina uhakika mwaya kuhusiana na hilo.Tungoje labda kuna wanaojua zaidi.
Labda wanatrack hadi imei ya simu.Hivyo ukirudia na simu ileile wanajua au wanaangalia na email.
Jaribu kubadili email au simu.
Yeah line zote jina ni moja, kwahiyo ndio siruhusiwi tena kupiga kura? Maana tokea jana ndio kwanza naanza kupiga kura najibiwa nishapiga kura nikachoka mwili na roho
mi nimepiga simu moja hyo hyo kwa airtel n voda
mi nimepiga mara 2 na zote nimesajili line yangu
Sasa mimi sijui shida ni nini kwakweli, kila nikipiga jibu ni the same, ushapiga kura hata kama sijapiga
mi nshapiga kwenye line mbili tofauti na nimesajili jina langu
au ktma wana mpango wa kubana kura zetu
Yaani hapo ndio nimeshindwa kuelewa
yaweza kua washagua mshindi wao ngoja nipige ssa hv nione
Mmmh!!! Mie wamenikera sio siri
wehu tu hao
Wehu km kidogo sasa!! Imebidi nihamishe salio kwa dogo nipigie kwake maana kwangu wamenigomea
piga piga kura mama
Mimi nina line mbili that's why.Kama leo nimepiga kwa airtel...
Fanya hivyo na wewe, nimepiga kwenye vipengele vyote 7 tena kwa mia 5 tu na salio limebaki.
mi nshapiga kwenye line mbili tofauti na nimesajili jina langu
au ktma wana mpango wa kubana kura zetu
Sasa mimi sijui shida ni nini kwakweli, kila nikipiga jibu ni the same, ushapiga kura hata kama sijapiga
Hiyo ita hesabika moja..wanakuacha tuu lakini wana hesabu kura moja....!
Manager wa Auditax inayo simamia kura alisema kuwa mtu anaweza fikiri amepiga mara kumi lakini ni mara moja ...maana wana mfumo wa kutrack na kutrace na kuangalia code ya simu hivyo hata ukipiga mara kumi kura wanayo hesabu ni moja!
Alisema pia mwaka huu watu wamevunja record kwa kupiga kura na wangekuwa wana hesabu kura zaidi ya moja ingekuwa ni balaa zaidi maana mhamko ni mkubwa sana!
Si ushapiga moja ama miTZ akili mbovu yaan mtu anapiga kura 4 kwa kipengele hii si haki na ni ujinga kabisa nauona ktk maisha yang anyway simple minded hivi ndo wanavofkiri km ipo ipo tu haiba haja ya kutumia njia zisizo na busara wala haki
We nawe sijui umekurupukia wapi shosti!!! Viroba vyako kanywee mbele huko, eti simple minded my ass, nhfddjgdtuyhgdsshj yako weee!
Ukwel kuukubal mgumu anyway sina nia ya ugomvi wala mabishano kwan kila mtu analelewa na tabia za wazaz wake na hata akipata mtu kumfundisha hatakubal. Nimekufahamisha kuwa kura moja yako inatosha kwa kipengele kimoja huo unaofanya ni ujinga na ni dhambi na mwanzo wa udhulumu hutaridhika na mpaka udhulumu mm huwa sistaajabu kuskia tz kila mtu fisadi anadhulumu sistaajabu kwan na ww unageuka fisadi kwenye kura ambacho ni kitu kidogo tu? Je upewe kitengo benki kuu? Nafkiri umenifaham take it or leave it. aliyeiba hela za escrow alianza km ww. Simple minded can't answer the question with facts they will answer with idiotics idea. Haya kalale