hahahahahhahahahahhah.....Kwanza moti moti moti sikiaaaaaaaa......Moyo wangu tiii tii tii Unakimbiaaaaaa
Ohhh nana oooh nana
Ni lini umeacha kukosoa... Badili Tecno yako na usikilize katika kifaa ambacho sio kibovu hlafu uje hapa useme anasikika au hasikiki
hahahahahhahahahahhah.....Kwanza moti moti moti sikiaaaaaaaa......Moyo wangu tiii tii tii Unakimbiaaaaaa
Ohhh nana oooh nana
Nitakosoa nitakavyo hunipangii wala kunifundisha cha kufanya JF. Akili yako inawaza Tecno ndo upeo wako wa kufikiri ulipoishia eeh.Wimbo ni mbovu na hausikiki.
Ukitaka taga yai ka la mbuni.
Hahahahahaaa, Diva sometimes ukiamua kunichekesha bwana?
Tatizo kuna watu hawataki kuukubali ukweli wa kutofautiana kifikra na kimaoni pia.
Wanataka kila kitu yuwe sawa which is totally wrong. ..achana nao dear.
Ndo tatizo la wengi JF hawataki kutofautiana kimtazamo na kuheshimu mawazo ya wengine badala yake mtu anaanza kukushambulia na kukuita maneno yote mabaya.
Hivi jamani upigaji kura KTMA bado unaendelea? Niambieni faster nataka nifanye mambo hapa.
mpaka tarehe 9/6 dada
Tuachane nao tusonge mbele sie.Sisi cheketua ina miezi mi3 inaenda mi4 sasa lakini still uko hot.
Wenzetu mtu wao katoa ngoma kibao na zimeshachosha hadi anakimbilia kutoka nyingine ambako nako kachemsha.
Ule wimbo Mr. Flavour angepewa muda zaidi ya ule watu wasingeamini kama ni wa domo.

Mie kila nikipiga naambiwa nishapiga kura sasa nashindwa kuelewa
Mimi nina line mbili that's why.Kama leo nimepiga kwa airtel...
Fanya hivyo na wewe, nimepiga kwenye vipengele vyote 7 tena kwa mia 5 tu na salio limebaki.
Nimeweka vocha line zote 3 ila nimeweza kupiga tigo tu, voda na airtel naambiwa nishapiga kura si ndio nikapigwa na butwaaa!
Labda wanatrack hadi imei ya simu.Hivyo ukirudia na simu ileile wanajua au wanaangalia na email.
Jaribu kubadili email au simu.
Inawezekana aisee, ila mbona sasa sijapiga na same phone? Maana yenye voda na airtel ndio nimejaribu nikaambiwa nishapiga wakati bado?
Basi kama ndio hivyo utakua umesajilia jina moja lines zote labda.