Aya kende nimekuelewa kafungulie njiwa sasa muda wa kuwapa pumba ndo huu
Umesema biashara imedoda???
Mange this is too much my dear, nahisi unapitaga kwanza huku JF kuona nimetoa mawazo gani kuhusu new releases!..lol
Ila nahisi tuna upeo sawa wa kuona mambo kwa mbali zaidi maana ni mara nyingi tumekua tukifanana katika maoni yetu ila kwa Kiba tunakuwaga tofauti always!
Ila kwa hawa wengine sana tu...ni kweli kwenye hii nyimbo aliyeubeba ni Mr. Flavour tu, tena hiyo 5/10 uliyompa ilitakiwa useme Mr. Flavour 4 diamond 1.
Kaongea kweli aisee to me nothing new kwenye huo wimbo. Style za kucheza ni zile zile za video nyingine. Inakua inachosha abuni uchezaji mpya hata location haina tofauti na moyo wangu hadi yale nagari. Ila pia kadesa idea ya Wanjera yule mdada kuanza kufatana ka wanabishana.
Hafu nguo alizovaa domo bana haziko vizuri za kihuni huni flani kuchana majeans.Atafte nguo za kiheshima au ana target group flani kwenye video.
Aongeze na ubunifu wa nyimbo sio kila siku yale Yale. Na uchezaji pia.
Mnaonaje mngekuwa mna mpa ushauri Ali kiba ili nae afike level za nyimbo ikitoka iwe exclusive MTV sio kila siku Vanessa mdee, n diamond tu MTV
Kauze tu njiwa huna jipya wewe. Kiba anakuwasha eeh. Utakufa maskini huu mda ungeenda kutafta soko unge progress in life. Hafu kila I'd ukija nayo unajulikana. Aren't you ashamed of yourself.
Na we huoni aibu kukosoa nyimbo ya diamond wakati msanii wko kiba hajawahi kufanya video km iyo km unajua Ku shauri mshauri Ali kiba afanye video nzuri pyeee
Hahaaaa mwanaume una mambo ya kike wewe.kah pyeee ndo swaga zako nini ukiuza njiwa. Utakufa na umaskini aisee. Empty mind.
MTV, sound city, trace, afropop, bet wote wanamjua diamond wivu n kidonda ugua pole
MTV, sound city, trace, afropop, bet wote wanamjua diamond wivu n kidonda ugua pole
Kauze tu njiwa huna jipya wewe. Kiba anakuwasha eeh. Utakufa maskini huu mda ungeenda kutafta soko unge progress in life. Hafu kila I'd ukija nayo unajulikana. Aren't you ashamed of yourself.
Na we huoni aibu kukosoa nyimbo ya diamond wakati msanii wko kiba hajawahi kufanya video km iyo km unajua Ku shauri mshauri Ali kiba afanye video nzuri pyeee
Kumbe mama ile video wamecopy na kupest zile stail za kucheza na pamoja na kucopy na kupest bado wameboronga hahahaaaaa..IG wameweka original na fake nimechekajeee
Hahaaa loh labda ya kuuzia njiwa ndo anajulikana mana hizo Chanel zote naangaliaga sijawahi kumuona. Wewe ndo ujikande kuwa na matatizo ya kisaikolojia na mwanaume mwenzako plasi mwezi mchanga.
Njoo nikupe mtaji uachane na kuuza njiwa hizo Chanel unaangaliaga kwenye mbao. Loh pole work hard u move from one stage to another kubadilisha I'd ni kupoteza mda tu. After all kila mtu na akipendacho. Tafta mwana saikolojia akusaidie unajisumbua na na ma I'd tofauti kisa nini njiwa hujauza.
I feel sorry for u usilazimishe wote tukubali ukionacho bora.

Jana uzaona hii exclusive
Hapo vp
Nothing new ua wasting ua time.
Mange this is too much my dear, nahisi unapitaga kwanza huku JF kuona nimetoa mawazo gani kuhusu new releases!..lol
Ila nahisi tuna upeo sawa wa kuona mambo kwa mbali zaidi maana ni mara nyingi tumekua tukifanana katika maoni yetu ila kwa Kiba tunakuwaga tofauti always!
Ila kwa hawa wengine sana tu...ni kweli kwenye hii nyimbo aliyeubeba ni Mr. Flavour tu, tena hiyo 5/10 uliyompa ilitakiwa useme Mr. Flavour 4 diamond 1.
Watu washanza kuomba remix from s.a we endelea kuponda wimboNothing new ua wasting ua time.