Hahhahaha poor you!! We jipe moyo niko live mrembo wangu from, trace to soundcity, channel o, vox, african beats,. Halafu acha ushamba wa kukariri dstv na wewe hahhahaha ushamba mzigo, tumia satellite dish. Anyway ndo umetoka tandale juzi, bado unajifunza
Hii nayo imeshapiga pua, basi mtadai kashirikishwa haaaaahaaaaaaa jamani dont try too hard, relax, take easy kama mwana darisalama
Hahahahha kwani vipi mzee mimi sio binti kama kende ohhhhh sorry nilimaanisha kendrick
Yes, umesema vema....kiba bora ni yulee wa miaka ile ta dushelele na mapenz yanarun dunia..siku hz mmmh apn
Sizitaki hizi mbichi...
Ha ha haa unanitaka hivi wewe ni me au ke? ?
Ukiona hivyo ujue kafunikwa ndio maana hata huu uzi unamjadil dai kuliko mwenye uzi mwenyewe
Ha ha promo kama kawa hutaki andamana..
Kitu kizuri hafanyiwi promo na makombo..
Ha haa kedrick..
But mkuu uwe unajua kutofautisha kati ya facts..na opinion zako..usilazimishe ziwe facts..
Weee nawe kamq hapana kilichokuleta huku nni?
Yaan Leo unaongea mwenye wenzako wapo kuugulia maumivu uko
Naona ushaanza kumwelewa ki ba duuu hongera japo ulikuwa mgumu sana kuelewa
Wife...
Wife...
Niliota kiba kapata tuzo nne za killi ndio maana nipo hapa asubuhi asubuhi..
Kiba namuelewa sana..yani namwelewa tangu enzi zileee....za dushelele sema tu hapa katikati amenivuruga..kidogo mwana dsm bt cheketua mmh
Hahahaaa ushafungia njiwa?.
Jana hukuwepo huku kabisa. Nasikia biashara ilikudodea...
Tuachane na hayo vipi ile video ya bosi wako unaweza ukanipa ata mstari mmoja domo aliouimba?
Hahahaaa ushafungia njiwa?.
Jana hukuwepo huku kabisa. Nasikia biashara ilikudodea...
Tuachane na hayo vipi ile video ya bosi wako unaweza ukanipa ata mstari mmoja domo aliouimba?
Sasa km upo live haumuanagi diamond uku kiba ushawahi kumuona chanel 0 we unangaliaga kwny dish gani maana sie kwny dstv yetu haionyeshi Chanel 0 cku izi
Ooh Nana ooh Nana baby Ooh Nana oooh Nana byb basi ujue mie kitandani km... Kwanza moti moti ckia unastuaga kijoti naumia moyo wng ti ti ti unakimbia ukahamia noti noti nahofia ucje niacha km nani nitaumia sn 😀😀
Sankoro sankoro twende sankoro sankoro team kiba cheza sankoro sankoro sankoro ooh sankoro sankoro
Hii performance appraisal noma toka Jana so bizeAya kende nimekuelewa kafungulie njiwa sasa muda wa kuwapa pumba ndo huu
Aya kende nimekuelewa kafungulie njiwa sasa muda wa kuwapa pumba ndo huu
Hii performance appraisal noma toka Jana so bize
Wife...
Wife...
Niliota kiba kapata tuzo nne za killi ndio maana nipo hapa asubuhi asubuhi..