Mwenzangu wewe hujui kuchunga mali zako eeh? Huoni mabwabwa wameongezeka kwenye huu uzi siku hizi?
Tunaoelewa wanachotaka inabidi tufungie mali zetu kama hivi...lol
Looh na uzi umgeshafunguliwa zamaani.
Ni mbaya sana na inaumiza kiukweli ndo wanaume wengi wakiwa na michepuko hutekwa akili bora kumsamehe Mara saba sabini aisee. Yani nionavyo amsamehe na asahau Mungu atazidi kumuongezea Mara dufu wazazi ni Mungu wa pili duniani na wana baraka zao. Ndo maana hadi vitabu vitakatifu vimeandika msamehe na kuwaheshimu ili kuishi maisha marefu.
Amsamehe tu huyu mzee bure aisee.
Na kweli maana mimacho imewatokaaaa! Sijui washambeba Viol wangu maana nae kaadimika kweli
Ndo mana na mwanawe kamu rithi hyo tabia ama kweli mtoto wa nyoka ni nyoka. Mwanawe anabeba hadi makombo yaliyo chacha na kushindikana.
Sio uzi bali nyuziiiiiii, yaani yangewatoka km bomba liloondolewa koki, eti tukimuongelea ndomo inawakaba wakati video ya mwana ilivyotoka uzi wao ndio ilikuwa habari for allmost a month mara oooh ya chooni, ptuuuuuu
Hahahahaaa nimechekaje? Hapana bwana mbona jana tulionana nae sehemu huku jukwaani?
Muulize Diva Beyonce tulikua nae.Ila kapotea kidogo haonekani sana.
Ngoja tuwasitiri hawa maana ingekua ni Ali kiba wangeshaongea Mpaka basi.
Hahahahaaa nimechekaje? Hapana bwana mbona jana tulionana nae sehemu huku jukwaani?
Muulize Diva Beyonce tulikua nae.Ila kapotea kidogo haonekani sana.
Acha tuwafundishe namna ya kuishi kistaarabu, coz kilichotuunganisha ni suala la burudani.
Uzuri picha nitaendelea kuwa nayo, wakileta upuuzi naiweka.
Ova
Sio mwezi tu, hadi leo kuna bibi mashavu mmoja aliyeungua kwa mkorogo anapenda kuongelea hiyo video utadhani ndio ya kwanza kuiona katika maisha yake.
Naona King alimkosha sana pale ndio maana hamtoki akilini.
Kumbeeeee! Ndio maana siku ile kaizer aliniambia yupo kwa nifah!!! Doooh sijui ana liprojekiti wapi huyu mtu.
Jamani ni masikio yangu au???? Mbona mwimbo wa mondi siufeel masikioni??? Ila video kajitahidi. Inabidi atoe kolabo na davido aisee mana anapotea tu
Haya kwa heshima yako naweza kuamua kutoweka hizo Picha. Najua mimi na wewe tunaheshimiana.
Ova
Jamani ni masikio yangu au???? Mbona mwimbo wa mondi siufeel masikioni??? Ila video kajitahidi. Inabidi atoe kolabo na davido aisee mana anapotea tu
Jamani ni masikio yangu au???? Mbona mwimbo wa mondi siufeel masikioni??? Ila video kajitahidi. Inabidi atoe kolabo na davido aisee mana anapotea tu
Tatizo lao ustaarabu zero wanachukulia ushabiki ni uadui mkubwa. Sasa wanavomwambiaga Ali kiba anazaaa zaa hovyo. Wana upuuzi flani hivi wakijishau tu naomba uiweke.