Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Achana nae dear, nashangaa anakuita wa mbagala.
Kwani umeshahama sinza?
Kumbe ni mvulana!!!
Hua nasikia tu kua yule mama ni hodari wa viserengeti ila nilikua sina uhakika.
Nasikia kuna mmoja alimrekodi sex tape!..Naisubiri kwa hamu hiyo picha love.
Ninaemagine ingekuwa kiba ndio karudia hiyo idea, weeeeee yangeandikwa magazeti shigongo kasingiziwa
nimekosa tusi linalokufaa naomba nikutakie usiku mwema tu
Ujue kwa ninavyomjua mamake Nassib, basi huwa nacheka sana ninapoona fans wake wanaita watu makombo au sijui vicheche.
Warudi kwanza kifikra kwa mzaa staa wao.
Ova
Tofauti kubwa iliyopo kati ya team kiba na di, ni kwamba sie wa team di tuna kubali juhudi za mtu.
Nyie shida yenu ni haters tu.
OMG., I jus quoted ur arse. Consider urself lucky
Naona umeshaanza kuombwa usiiweke hapa.Anyways, kama ukikubali ombi basi make sure unanitumia kwa pm baby.
Mdakuzi wewe ni muelewa sana na hupaswi kushabikia huu ujinga wa kumuweka mama wa mtu akiwa kwenye privacy yake hata km anacho fanya haki kubaliki kwenye jamii.assume ndio angekua bi mkubwa wako unge jiskiaje? labda km sija elewa ulicho kua una maanisha!
Wanaomba nini isiwekwe sasa kah ukiipata usinisahau.
Weeee! Tungeshuhudia magazeti huku hadi tukome maana wale watu kwa magazeti tu maashallah!
Hahahahahaaa, kua huru dear..
Wala usijali mimi sina taabu.
Wanaomba picha ya mama domo na serengeti wake isiwekwe eti...
Nikiipata mimi tena? Dakika 5 nyingi utaikuta PM.
Wanaomba picha ya mama domo na serengeti wake isiwekwe eti...
Nikiipata mimi tena? Dakika 5 nyingi utaikuta PM.
Duuuuh ulimfukia wapi huyu mtu? Mwanamke mbaya wewe!
Ngoja tuwasitiri hawa maana ingekua ni Ali kiba wangeshaongea Mpaka basi.
Hahahahaaaa nipo humu Shem, nikashangaa sikuoni. Nafurahi mnavyowatesa vilaza humu ndani.
Ova