Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,352
Katapikie uko. Are you..can u..nyoooo endelea kujifunza
Hunishindi love. Nimefurahi kukuta hapa, ujue hadi naingia nilikuwa nasema sijui nitamkuta.
Naona unawapa shule hawa vilaza. Umetisha sana baby.
Ova
Katapikie uko. Are you..can u..nyoooo endelea kujifunza
Sasa ulitakaje bibie,,!? Tell me.
Swali zuri hilo tatizo la mashabiki wake wengi kichwani ni empty set. Ndo maana wanakuja na id's tofauti hafu wanaji quote.
Em jiheshimu basi, lugha kali sana hyo.
Mimi ningekuwa shabiki wa Nassib ningeona noma sana kwa jinsi anamtesa baba yake.
Yaani yeye anamjali yule serengeti boy wa mama yake na kumdharau baba yake.
Ova
Mimi ningekuwa shabiki wa Nassib ningeona noma sana kwa jinsi anamtesa baba yake.
Yaani yeye anamjali yule serengeti boy wa mama yake na kumdharau baba yake.
Ova
Hahahaaa!
...nmekupenda ghafla, ntakuPM badae kdgo.
Shoga muuza njiwa katuvamia na I'd mpya hujamuona tu. Maana comment zinafanana ila I'd tofauti.
Najaribu kufikiri kuhusu hii promo anayopewa kiba, angepewa mtu kama Mavoko au belle 9 hivi angekuwa mbali sana, ila ndo basi tena, licha ya kubebwa na airtel mpk marekan kwa R-kelly akashindwa kutumia ile fursa, what a shame!
...pale ndo palikuwa pa kutokea ila cjui alikuwa anawaza nin au washauri wake ndo hawanaga mawazo!!!
...anyway Mungu amsaidie apate fursa nyingine aitumie vzur na tz tuwe na wasanii weng wanaotambulika nje km wenzetu wanaijeria...
Hahahaaaaaaaaaaaa jamani mbavu zanguuuuu....ni yeye naona jana tulimahushua kua anauza njiwa kaamua kuchange tehe tehee
Hahaaa ua so wrong dude eeh and am even not ua type.I don't give a fuc.k.
Hahahahaaa kuna kilaza mmoja kachachamaa. Hata vichaa huwa hivi hivi ndio maana inabidi tuwafunge kwa kamba.
Ova
Hahahahahaaa baby nakumiss kwa vingi ujue?
Nazidi kukupenda Wallah!
Hahah umepanic Diva Beyonce may be am right bt if u hv a problem with me, could you please write it
nicely on a piece of paper, fold it up, and shove it up your a$$ mtt mzr beyonce wa mbaga.. hahaha
Lugha kali unaijua wew unaisikia...
Nyooo nijiheshim kwani nani kakuambia sijiheshimu.
Jiheshimu wew kubwa jinga na broken English yako upooo?
Alafu uzuri ni kwamba humu hujaitwa kimbelembele chaako