Ha ha ha ha haaaa.., i must get u.
Anhahahaa..,nimekukamata pabaya leo nifah ,. Who was ur english CHeatEr??
Just say thanx. Being human is wisdom.
I lectured sth into u.
Ebu kwenda uko. Kapambane na type yako
Unifate pm kufanya nini?Pm yangu haina huo mda mchafu tena nimefunga pm kabisa.Nisaidie nimpate nifah .. Nakufuata PM.
What, yani u dn even appreciate what i just did.!!
We mkurya nin??
Kumbe wew unapambana!!!
...relax bas mtt mzur!
...mbn easy tu au ndo upo kazin ?
Shabiki mwenzenu huyu ye anajielewa....
Ivi wew ni kingereza gani unachoongea cha cheke chea si useme ndo unajifunza ueleweke.
English coz inakupa kiwew ee.
Apa sio sehemu sahihi ya kufanyia mazoezi.
Pita ivi
Hili family la fans wa King Kiba utalipenda tu linavyopelekesha watu humu JF.
Habari zenu wapendwa? Naona mnavyojitahidi kuwapa elimu vilaza, poleni na hongereni sana.
Ova
Yaaan na kiswanglish chak cha google translate hana chochote.
Wanapaniki utazani iyo video sisi ndo tumefanya iwe mbaya
Hahahahahaa acha kujifurahisha wewe.
Umenikamata kwa lipi sasa?
Mbona umejiquote mwenyewe? Au ulisahau kusign out uingie kwa fake ID?
Kama ninyi ni watoaji wazuri wa ushauri kwanini hamumshauri Nassib ampe huduma baba yake?
Mzee hana hata nauli ya kwenda hospital, miguu imemvimba hadi anatembea kwa kusota.
Ova
We pita ivi bana
ha ha ha ha., team kiba hamkubali shindwa.
Im beggining to like u though..., i wonder.
Hawa wasengerema .wamekuja kutafuta papuchi huku... nyoko zenu.
Kwani kule kwenu hamna madem?
Are u able? Can u argue,, are u rational being?
Are u judgemental? Can you assess the value that worthy in two contradicting sides?
Mbona umejiquote mwenyewe? Au ulisahau kusign out uingie kwa fake ID?
Kama ninyi ni watoaji wazuri wa ushauri kwanini hamumshauri Nassib ampe huduma baba yake?
Mzee hana hata nauli ya kwenda hospital, miguu imemvimba hadi anatembea kwa kusota.
Ova
Kuanzia sasa nakupotezea kapuku wewe, sina muda wa ku argue na wewe tena.
Wow, I miss you sweetheart.
Nafurahi kukuona hapa,
Love you baby.