Ali Kiba Fans' Special Thread...

We unafikiri ana compete na nani? Hafu njoo na I'd yako ya siku zote nendeni kwenye Uzi wake. Hahaaaaa yani ndo kutokujiamini hadi kuja na I'd mpya. What a shame mxiiiiiewwww.

Uwiiiiii wamevurugwa.
 

Bora na wew usisitizie maana huyu bint anashusha gazet anajaza sever
 

Ha ha ha ha haaaa.., i must get u.
 

Huyu jamaa ana mahasira yake tu alifikiri video itakua bomba sasa imekua virse versa ndo analeta mahasira yake huku.
Bora hata ya Adamu Juma ilikua bomba sana tu in short wajipange sasa.
Walivo wapuuzi eti Kiba ali Fanyia video chooni mbona na wao wameboronga vibaya sana. Bwebwe nyingi kumbe hamna kitu.
 
Wote nyie team kiba mna fake Id's zinazo mpraise Di..

Hahaaaa nyie ndo mna hangaika na I'd ka hamna akili nzuri vile hafu miandiko na magazeti inafanana yote. Ndo mana huwezi kukuta utitiri wa vi I'd ka vya kwenu kumsifia huyo domo wenu.
Yani tuwe na I'd tumsifie crocodile mouth utakua unaumwa na kichaa.
We are die hard fans of kiba.Together as one#TeamKibaForever.
 
nifah mamy si tulikubaliana tusiwajibu wajinga? Huyu data sio type yako acha abwabwaje afu ataondoka tuu

Acha tuwape dawa kidogo leo mpenzi, kuwaacha hivihivi sometimes sio poa.
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaa nyie ndo mna hangaika na I'd ka hamna akili nzuri vile hafu miandiko na magazeti inafanana yote. Ndo mana huwezi kukuta utitiri wa vi I'd ka vya kwenu kumsifia huyo domo wenu.

Nisaidie nimpate nifah .. Nakufuata PM.
 
Last edited by a moderator:
SHABIKI MWENZENU HUYU, MWENZENU ANAJIELEWA.
sawa lakini hiyo haimaanishi Kiba mbovu ingawa ana matatizo yake yanayotukwaza sisi mashabiki wake!mi sio shabiki maandazi!!domo yuko juu kikukweli hata the way anavofanya kazi unaona kabisa huyu sasa anahama hizi level za kibongo bongo!... nikuambie kitu?? wakati domo anavuka boda kufanya shooting kali kama hizo, Leo Kiba alikua pale viwanja vya benjamini Mkapa anacheza ndondo na watoto wa mtaani!!... kaniboa kweli huyu jamaa leo!! upo bize na ndondo halafu unataka kupambana na domo kwenye mziki??
 
Hili family la fans wa King Kiba utalipenda tu linavyopelekesha watu humu JF.
Habari zenu wapendwa? Naona mnavyojitahidi kuwapa elimu vilaza, poleni na hongereni sana.
Ova
 

Shabiki mwenzenu huyu ye anajielewa....
 
Ni wa kupuuzwa hawa mtu wao katoa wimbo badala waende huko wanakuja na I'd mpya huku. Waswahili ni shiiiider tu.

Yaaan na kiswanglish chak cha google translate hana chochote.
Wanapaniki utazani iyo video sisi ndo tumefanya iwe mbaya
 

Huyu naye ni wale wale wasiojiamini Mpaka waje na I'd mpya hafu miandiko ile ile wqkifikiri tutaenda kukoment Uzi wao wameona kimya wamekuja huku. Aisee wanaume wengine wa uswahilini ebu tuwatupie kwenye dustibin. Wako kwenye heat period ndo mana wana hasira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…