Mhhhhhhh! Kazi ipo hapo.Mimi siwezi date na mwanaume mwenye mambo ya kiswahili hata siku moja.
Hivi kama anaandika hivi mitandaoni huko ndani si itakua ni mwendo wa kuchambana tu?
Hahaaaaa hafu ni muuza njiwa sasa badala afanye kazi ni kuhangaika Na Ali Kiba.
Hahahahaa nilikua silijui hilo dear, kwakweli nimecheka sana.
Hahahaaaa! Uwiiii kanti imagini zati intaneshino thing, duuuh mtu na mumewe wanachambana!!!
Mhhhhhhh! Kazi ipo hapo.Mimi siwezi date na mwanaume mwenye mambo ya kiswahili hata siku moja.
Hivi kama anaandika hivi mitandaoni huko ndani si itakua ni mwendo wa kuchambana tu?
Ndo mana sipendi vitabia vya kiswahili Swahili. Tena mwanaume mzima na maneno ya shombo bora ingekua hata mwanamke sijawahi kuona mwanamziki ana uswahili hivi unachamba mashabiki hadharani eti Mara maumivu yakizidi kamwone daktari really! Ya kuwaambia mashabiki hayo. Na yeye ataanza kuzila hizo ndimu ndo atatia akili.
Au janaume mbeya mbeya na kiropo kama le matakoz...
Wewe tena mpenzi? Ndio maana nawapenda sana Kiba Fans wenzangu.Hata tukosane vipi hatugombani hadharani tunavumiliana kama ndugu.
Mmeifanya JF kuwa sehemu salama ya kuishi.
♥♥♥ Kiba Fans ♡♡♡
A woman behind key board
Jamani nyie watu mmenivunja mbavu zangu.
yaani nipo kwenye dala dala ni mwendo wa kuangua vicheko..
Diva mpenzi tugonge cheers kwa ile kazi ya ukweli yuliyoifanya leo.
Au janaume mbeya mbeya na kiropo kama le matakoz...
Hahahahaaa leo ni raha tele.
nifah ulikua hujui kua anauza njiwa?
Akishawapa maji na pumba ndo anakuja kuhara huku
Hahahaaaaahaaaaaa
Le matakozii le mazafanta...le muuza njiwazi
Hahahahahaa sasa hivi sijui ndio anasafisha banda?
Hahaaaaa jamani leo nimecheka aisee. Atakua ana safisha banda huyo.