Tuzo weeeeee........
Mjengo anaoishi mkali wa Bongo Fleva anayetamba na ngoma yake ya Chekecha Cheketua , Ali Saleh Kiba uliopo Kunduchi- Mbezi Beach jijini Dar , unadaiwa kuzua utata mkubwa hivyo kulilazimu kuchimba na kubaini kuwa nyumba hiyo si ya msanii huyo bali amepangisha.
Awali, Kiba alikaririwa akisema kuwa , mjengo huo wa kifahari ni wa ndugu yake aliyepo nje ya nchi ambaye alimpa ili aishi na ndugu zake (wa Kiba ) wakati yeye (mmiliki ) akiwa hayupo. Siku kadhaa mbele , baada ya Kiba kuvamiwa nyumbani hapo na watu kupora vitu huku akinusurika kuuawa , jamaa huyo alikaririwa redioni na kwenye mitandao ya kijamii akisema kuwa nyumba hiyo ni yake .
Ilidaiwa kwamba , mara tu baada ya Kiba kutangaza kumiliki nyumba hiyo, ilidaiwa kuwa aliibuka mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Mariana ikisemekana eti ndiye mmiliki halali wa nyumba hiyo.Madai mazito yaliendelea kushushwa kwamba , Mariana , akiwa mwandani wa Kiba ndiye aliyemuweka Kiba aishi kwenye nyumba hiyo wakati yeye ( Mariana ) kwa sasa anaishi nchini Singapore barani Asia .
Ninyi mnasema ule mjengo ni wa Ali (Kiba )? Acheni hizo , kwa taarifa yenu hiyo nyumba kapewa na mrembo f lani hivi amazing , anaitwa Mariana , ni Mbongo anayeishi Singapore.
Muulizeni huyo Kiba awaambie ukweli, kilisema chanzo chetu kikisisitiza: Hata Mariana aliposikia eti nyumba ni ya Ali (Kiba ) alishangaa na akamaindi ile mbaya hivyo kwa sasa sidhani kama wanaelewana kwa ajili hiyo.
Baada ya kukutana na mkanganyiko huo , gazeti hili lilimtafuta Kiba ambaye alikiri kwamba kweli nyumba hiyo siyo yake bali amepangisha huku akikana kusema kuwa anaimiliki . Alipoulizwa juu ya madai ya kupewa nyumba hiyo na mwanamke aitwaye Mariana , Kiba alisema hayo ni maneno tu kwani anachojua yeye amepangisha.
Kwanza hebu nitumie picha nijue ni nyumba gani ? aliomba Kiba ambapo alitumiwa picha kwa WhatsApp ndipo akajibu :
Okey , kama ni hiyo nimepangisha lakini siyo kwamba sina nyumba .
Hati ya nyumba hii apa
Tuzo weeeeee........
Hahahahahaa Le Billionaire anavaa fake? Halafu bora angekua anakubali kua ni fake sasa kuliko anavyojidai kavaa designer....ona sasa alivyoumbuka!..lol
Hahaaaaaa mashauzi ya kijinga tu na akome kiherehere.
Haaah Ali kiba n mario ana lelewa n dakio (demu) aisee me cwezi kumtegemia dekio hata cku moja
Mjumbe hauwawi.
Mjengo anaoishi mkali wa Bongo Fleva anayetamba na ngoma yake ya Chekecha Cheketua , Ali Saleh Kiba uliopo Kunduchi- Mbezi Beach jijini Dar , unadaiwa kuzua utata mkubwa hivyo kulilazimu kuchimba na kubaini kuwa nyumba hiyo si ya msanii huyo bali amepangisha.
Awali, Kiba alikaririwa akisema kuwa , mjengo huo wa kifahari ni wa ndugu yake aliyepo nje ya nchi ambaye alimpa ili aishi na ndugu zake (wa Kiba ) wakati yeye (mmiliki ) akiwa hayupo. Siku kadhaa mbele , baada ya Kiba kuvamiwa nyumbani hapo na watu kupora vitu huku akinusurika kuuawa , jamaa huyo alikaririwa redioni na kwenye mitandao ya kijamii akisema kuwa nyumba hiyo ni yake .
Ilidaiwa kwamba , mara tu baada ya Kiba kutangaza kumiliki nyumba hiyo, ilidaiwa kuwa aliibuka mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Mariana ikisemekana eti ndiye mmiliki halali wa nyumba hiyo.Madai mazito yaliendelea kushushwa kwamba , Mariana , akiwa mwandani wa Kiba ndiye aliyemuweka Kiba aishi kwenye nyumba hiyo wakati yeye ( Mariana ) kwa sasa anaishi nchini Singapore barani Asia .
Ninyi mnasema ule mjengo ni wa Ali (Kiba )? Acheni hizo , kwa taarifa yenu hiyo nyumba kapewa na mrembo f lani hivi amazing , anaitwa Mariana , ni Mbongo anayeishi Singapore.
Muulizeni huyo Kiba awaambie ukweli, kilisema chanzo chetu kikisisitiza: Hata Mariana aliposikia eti nyumba ni ya Ali (Kiba ) alishangaa na akamaindi ile mbaya hivyo kwa sasa sidhani kama wanaelewana kwa ajili hiyo.
Baada ya kukutana na mkanganyiko huo , gazeti hili lilimtafuta Kiba ambaye alikiri kwamba kweli nyumba hiyo siyo yake bali amepangisha huku akikana kusema kuwa anaimiliki . Alipoulizwa juu ya madai ya kupewa nyumba hiyo na mwanamke aitwaye Mariana , Kiba alisema hayo ni maneno tu kwani anachojua yeye amepangisha.
Kwanza hebu nitumie picha nijue ni nyumba gani ? aliomba Kiba ambapo alitumiwa picha kwa WhatsApp ndipo akajibu :
Okey , kama ni hiyo nimepangisha lakini siyo kwamba sina nyumba .
Haaah Ali kiba n mario ana lelewa n dakio (demu) aisee me cwezi kumtegemia dekio hata cku moja
Huyu cjui nani anajaza uwanja ivi
Mjumbe hauwawi.
Yani gazeti lote hili ni sababu ya TUZO MOJA TU??? Wewe binti una kazi, mchafue kiba unavyoweza ila hachafuki bebe! Yani ndo kwanzaaa twazidi mpigia kura. Msalimie mzee wa DNA HAHAHAAHAHHAHAHAHHAHAHAAHHAHAHA
Hahahaaaaa haloo ya helicopter
Tuzo moja tu wamepagawaaaaaaa!!!
We jamaaa hv umesoma kwel...designer halisi amesema hiyo ni fake na haina quality kama product yake halisi wewe unabiishaa..rudi shuleni..Et kavaa fake that original bitches pyeeeeee this is what happened
We jamaaa hv umesoma kwel...designer halisi amesema hiyo ni fake na haina quality kama product yake halisi wewe unabiishaa..rudi shuleni..
Inawezekana mie cjasoma ila na huwezo wa kulisha familia yko nzima shule sio ndo mafanikio wake up