Ali Kiba Fans' Special Thread...

Kwa wale wapenda ubuyuuu...
 
Attachments

  • 1432326721375.jpg
    41.8 KB · Views: 137
Kama haupo chini ya clouds hupati tuzo. Hizi ni tuzo maalum zilizoandaliwa na clouds media na wanawapa wale waliochini yao. Baba anagawa zawadi kwa wanawe alafu jirani ulalamike utakuwa mwehu. Nitashangaa kama tuzo hizo atapewa Diamond.
 
Direct wa video anayekubalika
 
Attachments

  • 1432326935043.jpg
    28.7 KB · Views: 113
aya sasa
 
Attachments

  • 1432327104129.jpg
    28.8 KB · Views: 109
 
Mwongozaji wa filam anayekubalika
 
Attachments

  • 1432327245619.jpg
    41.9 KB · Views: 94
Oyooooooooooooooooo mama wanjeraaaaa oiiii oiiiiii
 
Attachments

  • 1432327549305.jpg
    36.1 KB · Views: 91
Kama haupo chini ya clouds hupati tuzo. Hizi ni tuzo maalum zilizoandaliwa na clouds media na wanawapa wale waliochini yao. Baba anagawa zawadi kwa wanawe alafu jirani ulalamike utakuwa mwehu. Nitashangaa kama tuzo hizo atapewa Diamond.

Kwahiyo mkuu hadi Salim Kikeke yupo chini ya clouds?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…