Shoga yule ni timu mondi kaja na I'd nyingine kutusakizia uzushi kwa vile hstushabikii timu yake. Mpuuzi kweli yule sasa anataka wote tufanane kukomenti. Kanichekesha sana.
nifah njoo huku nielekeze huyo mpuuzi anapatikana wapi ninunue iyo kesi nipigwe ban mimi maana ata ivyo mb 8 zishanichosha.....usikute ni huyo ma.ta.ko. kedrick tuu

Hebu wapotezee kujibishana nao ndo wanavimba kichwa. Kuna watu waelewa kama Rutta ndo unaweza Ku argue naye hao wengine ujinga unawasumbua tu. Achana nao kabisa hawajui maana ya haya majukwaa.