Hii ni zaidi ya adhabu.Na mimi kutumia website sipendi balaa.
Sasa hivi hata siipendi tena JF!
Cha ajabu nini sasa u ataka kum compare na chai jaba. Loh!
Where z kiba et king the nation doesn't know you haaaah
Usingemjua usingehangaika kuja kwenye uzi wake bwasheee, kama sio king mbona unahangaika sana kumtetea domo humu??
Naomba majina ya Tanzania icons plz
Naomba majina ya waliochagua hao icons hahahhahha, angalia nyuzi zote humu JF kuhusu domo kuwa icon mbatata, then utapata jibu. Ma icon wanaotambuliwa na wabongo katika muziki ni kina marijan rajabu, mzee gurumo, bi kidude. Hao hawahitaji kikundi cha watu kumi kuwachagua, ila tunatambua kazi zao, icon ambaye hana tone ya muziki inayoeleweka, leo kaimba kinaija, kesho twaarabu, keshokutwa bongo flavor, hhahhahahahahhahahahaah! Mwaka mbaya sana huu kwa domo
Jamani Diva Beyonce kwanini umefunga pm yako? Kwa hasira na mimi nikiamua nitafunga sikubali!Nilikua nakutafuta kwa mbwembwe....looh!
Ila ninavyopenda umbea sijui kama nitaweza!
Shoga angu nimeona pm yake mbona ma dia unaweza funga ila kwa mtu unaye mutaka haumfungii@nifah.Hafu notification bado zinasumbua Mpaka nije kwenye Uzi ndo naona.
Afadhali umenifungulia tu tuendelee kupashana habari kwa raha zetu.
Notifications bado ni tatizo mods hawafuatilii hilo wanachojua ni kufuta comments zangu tu.
Yaani nakerekwa balaa.
At least mwenzangu ubuyu kama kawa aisee. Mi sasa inakuja hasa mtu akini quote. Wamefuta comments zipi tena.
Acha tu cute b...nitafurahi sana King akichukua tuzo jamani!
Ubuyu ........ nifah nenda jukwaa la complaint kule kuna mtu anakuita
Shoga yule ni timu mondi kaja na I'd nyingine kutusakizia uzushi kwa vile hstushabikii timu yake. Mpuuzi kweli yule sasa anataka wote tufanane kukomenti. Kanichekesha sana.