Na vp msanii anae watia mimba n kuwaacha wanawake hapo ana wathamani c et
Ookk, nicheck kwa njia nyingine
kama alipanda kwa uwezo wa Mungu basi atashuka pale Mola atkapoamua.. ila kampeni mavi za kina jokate na wengineo hazitamshusha.. pia yy ni mwadamu naona unamuhesabia makosa tuu utafkiri wasanii wengine wote wapo perfect... nani yupo perfect
Mi shabiki damu wa diamond, na ukweli usiopingika, huyu jamaa upande wa kuchuja kipi aongee na kipi asiongee ni tatizo kubwa saana kwake na kusema kweli inamcost saana mpaka hivi sasa, Mfano hata kwa gazeti hilo la juzi kusema jokate ni makombo "hata kama hakuongea wamensingizia, ni ngumu mtu kuamini hivyo ukilinganisha na tabia aliyozoeleka nayo"
Kikubwa zaidi siku zote wanawake wana nguvu kubwa saana ya influence, hata ukiangalia tu kwenye mitandao ya kijamii huwezi kufananisha na wanaume, So linapokuja suala la kuwa tofauti nao lazima usumbuke saana... Nadhani akizidi kupata fundisho in a hard way kama kukosa tuzo za kili hiviii na alikiba kuzidi kufanya vizuri inaweza ikaanza mbadilisha... ✌✌✌ one love Team kiba
dah ila maneno makavu mpunguze kidogo sio poa

Lets wait and see n izo promo zenu et mnachukua zoteee diamond ndo aliweza kuchukua 7 hamna atakae Weza tena
Ooowww poaa
Mtu mwenye low sperm count anaweza kweli kumpa mtu mimba?
kama alipanda kwa uwezo wa Mungu basi atashuka pale Mola atkapoamua.. ila kampeni mavi za kina jokate na wengineo hazitamshusha.. pia yy ni mwadamu naona unamuhesabia makosa tuu utafkiri wasanii wengine wote wapo perfect... nani yupo perfect
Hahahhaha ndo maana wanasaidiwa na kina katunzi
Hahaaaa hilo nalo neeeno.
Hivi unaona notifications au bado? Mimi bado nakasirikaje sasa?
Mwenyewe sioni notifications inauzi bana warekebisha. Maana inabidi utafte Uzi tena.
But whyyyyyyy
But whyyyyyyy