Naona umetoka online ukaenda kuingia na ID yako original. Afu huwezi amini nishakujua wew ni nani....na id zako zote zitaunganishwa na utaaibika hatari kwani kumkandia kiba ni adi uingie na new ID?

Wapo wanaotuogopa, wanaotuonea wivu kwa jinsi tulivyokuwa familia, na wengine wanatufeel kinyama ila ndo hivyo wanaanzaje kuja wazima wazima bila kuonekana wanasaliti kambi?!!
Inabidi wabadili tu chupi mwenzangu maana zile zingine zishaweka alama!