Na hapo ndo walipochemka yani Mpaka uwe na account fb na tweeter watu wengi hawana hizo accounts wamechemsha mno kwa hilo next year waweke njia ya kupiga online ka tuzo za watu.
Uzi umefungwa au umekufa? Hahahahaa watu kuiga iga tu ona sasa hadi wanakuja kujiaibisha huku!
Sisi huku tumejipanga na tunajua tunachokifanya tofauti na wenzetu wanaogombana na kuchambana hadharani...lol
Uzi wao haujafungwa basi tu watu wanaoshindwa kwenye maisha huwa wanatafta cha kusingizia kuwashusha badala ya kujirekebisha walipokosea.
Hafu wana hangaika na kiba badala ya mtu wao kutukana wao kwa wao kisa hawataki kutofautiana nao hadi aibu.
Wanapigana na wrong enemy bila kujitambua, kiba kawafanya nn labda?
Wakati sasa hiv halaliii..kutafuta tuzooo...anatumia slope za dai..
Paka wema na jikte wamsaidieee...kweli hii ni aibu aibuuuuuuuu....
Asubir siku zari akiachika atampigia promooooo
Avemaria huyu unaye argue naye hapa ni mwanaume au mwanamke?
Kama ni mwanaume basi wanaume wameisha!
Kiba baada ya kuanza kuimba tena wakaanza kumshambulia Mara anataka kumshusha mtu wao kisa yuko on top. Ndo nikaona kwahyo hawataki wengine waimbe mziki na akiimba anatumiwa, wamemtukana Kiba Mara anazaa hovyo maneno mengi kisa kaanza kuimba.
Na wanachokosea sijui ni kupanic kuhangaika na kiba na kujiona best hata akifanya ujinga domo hamwambii wanasema ni wivu anataka kushushwa.
Mda ufike waachane na kiba na domo a focus kwenye mziki kama kupanda alipanda na kushuka ajiandae tu huwa ni kawaida duniani kote asitafte mchawi wala timu yake kumshambulia Kiba maana haisaidii ajiandae kisaikolojia kwa lolote linalotokea maishaini na waache Ku fight wrong battle. Matendo ya msanii tabia yake na kauli mbovu ndo huwashusha wengi tu na mchawi wa mtu ni mtu mwenyewe.
Mimi hii njia ilinishinda kitambo maana nilitumia fb a/c yangu ila nashangaa kila nikijaribu wananiambia PHP Error was Encountered!
Hayo maneno yanatokea ila baadae inaendelea kuload kama kawaida hadi inafikia mahali pa kuvote.
Mi mwenyewe mwanzoni ilinisumbua nikajua mtandao umezingua au nimekosea kumbe sio ila kuna muda nikajaribu tena yakatokea ila sikukata nikaiacha....ikastuck na hayo maneno kwa muda kidogo then ikaload kawaida tu ikaniletea options nikaclick sehemu ya PIGA KURA.
Ni rahisi sema ukipiga mara moja ndo basi
Mhhhh! Mimi inavyonisumbua sasa...ngoja nijaribu kuvumilia walau dakika 5 isipoload basi tena nanawa mikono napiga kwa sms tu maana WhatsApp nako ukipiga mara moja ndio basi.
Akili za kitoto haswaaaaaa!! Kwahiyo hawataki msanii mwingine awe juu ili? Uchawi tu na roho mbaya zao, iliandikwa wapi kuwa chai jaba pekee ndio awe juu kwamba akiinuka mwingine dhambi? He was there b4 him and he ll always be Kibaaaaaaaa
Kiba yo the best and they have proved it with how you make them suffer.
Hahaaaaa haloooo ya chai jaba umenikumbusha lile tangazo.
Ndo wanaponishangaza, hawataki wengine wa shine kwenye music hafu wamesahau kua Kiba alikuepo kabla hata ya ndomo roho mbaya zinawasumbua tu. Mi sioni tatizo kuwa na wanamziki wengi wazuri tu na wanamchqganya dai kuwa yeye ni top hakuna ka yeye sasa akiona wengine ana paniki na kuona anaonewa, Mara chuki Mara kushushwa.
Mhhhh! Mimi inavyonisumbua sasa...ngoja nijaribu kuvumilia walau dakika 5 isipoload basi tena nanawa mikono napiga kwa sms tu maana WhatsApp nako ukipiga mara moja ndio basi.
Wakati sasa hiv halaliii..kutafuta tuzooo...anatumia slope za dai..
Paka wema na jikte wamsaidieee...kweli hii ni aibu aibuuuuuuuu....
Asubir siku zari akiachika atampigia promooooo
Uzi umefungwa au umekufa? Hahahahaa watu kuiga iga tu ona sasa hadi wanakuja kujiaibisha huku!
Sisi huku tumejipanga na tunajua tunachokifanya tofauti na wenzetu wanaogombana na kuchambana hadharani...lol
Ali lazima awakimbize...kwa ile "HIT&HOT SONG YA MWANA" si ya kuchezea yaani hatareee!!!,jamani naomba mnipe full details na njia zote za kumpigia Kiba kura za KTMA na TUZO ZA WATU,"Kiba 4rever fan here"...nafikiri ni vizuri watu waelewe baada ya kimya cha muda cha King sasa amerudi kuzizoa izo tuzo zao...truth noted!!!