Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Kiba hataguti tuzo bali zitamfuata.Kumekucha kijana, giza la kufumba macho linakudanganya.Ukisema tushauri basi soma thread lote!Mwambie kiba atafute tuzo..alaf ingekua mngekua bze kumshauriii kiba badala ya kusifia ujinga ujinga
Kama kawaida yenu hamnaga maneno mengine.Ushaona lini bahati inafundishwa kwa mwengine?Nina wasiwasi wewe hata zile categories na nominees wengine huwajui na myimbo zao.
Kiba hataguti tuzo bali zitamfuata.Kumekucha kijana, giza la kufumba macho linakudanganya.Ukisema tushauri basi soma thread lote!
Ingia www.ktma.co.tz ila utavote kwa account yako ya fb/twitter. Unacomfirm acc yako, kuna mahala utaona unajaza namba na sehemu ulipo
Avemaria huyu unaye argue naye hapa ni mwanaume au mwanamke?
Kama ni mwanaume basi wanaume wameisha!
Mimi hii njia ilinishinda kitambo maana nilitumia fb a/c yangu ila nashangaa kila nikijaribu wananiambia PHP Error was Encountered!
Hahaaa wanaume wengine bana huyo ni domo mwenyewe wakumhurumia si unaona hata tamko lake la insta frustration zinawasumbua aisee.
Hahaaa wanaume wengine bana huyo ni domo mwenyewe wakumhurumia si unaona hata tamko lake la insta frustration zinawasumbua aisee.
Yaani ukimuona mwanaume anaongeza herufi mbele mfano halaliiiiiii, mfanooooo ujue huyo ni kidole juu na hapo nyuma ya keyboard anakata kiuno.
Trust me.Gentleman hawezi kufanya huo upuuzi.
Wanasumbua watu bure wangeweka iwe rahisi kupiga kama tuzo za watu unaingia online kiurahisi.
Hahaaaaa! Km namuona hivi!!! Apeleke huko sasa kwani nani kamwambia hapa kuna wateja? Hizo habari zake hapa zinahusikaje? Au ule uzi umefungwa?
Yaani wamepagawa hatari toka lini nawaona hawakauki humu na kila ajae story ni hiyo moja tu wanafanya kubadilishana muda, hahahaaaaa! Na bado mbona!
Yaani ukimuona mwanaume anaongeza herufi mbele mfano halaliiiiiii, mfanooooo ujue huyo ni kidole juu na hapo nyuma ya keyboard anakata kiuno.
Trust me.Gentleman hawezi kufanya huo upuuzi.
Umeona eeh? Kwahili Kill Music awards mmefeli Jamani! Kwanza kupiga kura kwa kutumia fb au twitter accounts zetu sio salama kwa usalama wetu kwa tunaotumia majina yetu halisi.
Walitakiwa waige mfano wa Tuzo za watu wako fresh sana na wamejipanga.
Uzi umefungwa au umekufa? Hahahahaa watu kuiga iga tu ona sasa hadi wanakuja kujiaibisha huku!
Sisi huku tumejipanga na tunajua tunachokifanya tofauti na wenzetu wanaogombana na kuchambana hadharani...lol
Hahaaa zaidi ya kupagawa hawa ndo wanazidi kumharibia domo badala wamshauri wao wanamwambia Kiba ndo anamtumia kupata umaarufu Mara tuzo za ndani sio nzuri yee wa international hapo wanampoteza maboya mwenzao. Hafu wanafikiri kumshambulia Kiba ndo kuna mfanya domo kuwa bora.
Hafu wanakuja kwa zamu na I'd tofauti na kumhesabia eti ana tuzo nyingi na Hide angeweka zake ingekuaje sasa more than ten years ago yupo kwa gemu. Hawa mashabiki wanampoteza mwenzao eti challenge ni kuchukiwa na kushushwa. Ali kiba hatabaki kuwa yeye na hashindani na mtu ndo mana hana stress.:thumbup::thumbup: