Ali Kiba Fans' Special Thread...

Jamani nimejaribu kupiga kura kwa kutumia WhatsApp naona iko complicated kidogo ila inaeleweka.
Nimeanza kwa kutuma code wakaniletea maelekezo ambayo nimeyafuata na hadi sasa nimempigia kura Ali Kiba kwenye vipengele viwili.
Ngoja nikaendelee, yeyote atakayeona haelewi kwenye WhatsApp aniulize.
 
thnx best
 
Nimekuuliza apo juu mpnz mwongozo plzzzz
 
Ivi mpnz ile njia ya whatsup mbona haifai?

Nimekuuliza apo juu mpnz mwongozo plzzzz

Nilikua napiga kura mamy nimeshamaliza ngoja nikuelekeze.
Ni kipi ambacho kinakusumbua? Mimi nilianza kwa kutuma code # mfano DA4 ndio wakaniambia nichague lugha kama unataka kiswahili unaandika Sw kama kiingereza En unatuma halafu wanakuuliza maswali mengine unajibu.
Jaribu hivyo ukishindwa uniambie.
 
Nikituma inaniletea empty msg sijui kwa nini
 
whatsapp ndo simple,save ile namba then nenda kwenye chat.

tuma ujumbe wowote ule ,watakuletea maelekezo.

maelekezo yatakuja kama mtindo wa M-PESA menu

Yeah, hata mimi nimevote kwa kutumia WhatsApp.
Mbona hawakubali kurudia kupiga kura?
Je, kesho nikipiga tena watakubali?
 
Nikituma inaniletea empty msg sijui kwa nini

Mhhhh hebu rudia tena.Mimi mbona iko fresh tu?
Umehakikisha namba unayotuma ni sahihi?
Je profile yao wanaonesha KTMA?
 
Hapana,unavote Mara moja kila kipengele

Kwahiyo hata kesho hawatokubali niendelee kupiga kura?
Vipi hujapata namna ya kupiga kura online? I mean kwa kutumia website kama tuzo za watu.
 
Kwahiyo hata kesho hawatokubali niendelee kupiga kura?
Vipi hujapata namna ya kupiga kura online? I mean kwa kutumia website kama tuzo za watu.

Yah kwani ile no unaisajili kwa one vote per one category

Kuna mtu kanielekeza hapa jinsi ya kuvote online, yeye kavote kwa Ay ndo nataka nijaribu
 
Mhhhh hebu rudia tena.Mimi mbona iko fresh tu?
Umehakikisha namba unayotuma ni sahihi?
Je profile yao wanaonesha KTMA?

Inaonyesha mamy au ngoja nitumie sms nisichelewe
 
Yah kwani ile no unaisajili kwa one vote per one category

Kuna mtu kanielekeza hapa jinsi ya kuvote online, yeye kavote kwa Ay ndo nataka nijaribu

Mbona kama sijakuelewa? Kwahiyo kama mimi nimepiga kura kwenye categories zote alizopata Kiba ndio basi tena sitoweza kumpigia kura tena kesho?

Haya fanya mpango utuletee jinsi ya kuvote online.
 
Vipi email? Mmmhh siwezi kukosa kumpigia Kiba wangu jaman

Za online ndio tumsubiri Deo akiweza atatuelekeza.
Wewe acha tu nakuambia hapa nilipo nimedata kusikia kua kupiga kura kwa kutumia WhatsApp ni mara moja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…