napenda kuwashauri wasanii wengine igeni mfano wa KING KIBA tungeni nyimbo kali kama za kiba, shoo kali kama za kiba.kupiga pamba kama kiba, kujipenda kama kiba, hili mpendwe kama kiba. hongera sana KING KIBA kaka yao. wataelewa tu
Nikushauri kitu? Jaribu kua mkweli usipende kupinga kila kitu.Halafu hiyo sumu ya chuki iliyo moyoni mwako itoe haraka itakuangamiza!
Unachokosea nn kaka ww upo nyuma na wakati ulitakiwa uandike haya au ulete huu uzi miaka mitano au sita iliyopita tungekuelewa,kiba alikuwa mfano miaka hyo sasa inamlazimu yeye amuige mwenzie kwa kila anachofanya cos yeye hakuwa kiigizo kizr,alipoteza nafasi ya kuigwa longtime,sasa ina mcost inabidi amuige mwenzie tu utake ndio hvyo usitake ndio hvyo,kiba anapita alipopita mwenzie,na hata mwenyewe kiba kimoyo moyo anamkubal dai na anajua wapi aliteleza
Hivi kwenu Cinderella ndiyo inafika leo enhhe? Huyo unayemtaja alishazikwa kwenye gemu kitambo sana. Siku hizi kuna kijana anaitwa Diamond wa Platinumz anakimbiza vibaya mno. Africa mashariki kawamaliza sasa hivi anamalizana na Nigeria. Kijana video yake mpya inatazamwa na mashabiki laki moja kwa siku. Hadi sasa video yenye wiki moja YouTube ishatazamwa na watu laki saba. Tuambie huyo Kiba wako ni yupi?
Hata mimi hicho kitorondo sijui maana yake,na wala sijawahi kujiuliza ni kitu gani.
kiba wa kawaida sana huwez mlinganisha hata na 20% au barnaba kwa utunzi.
kuhusu kuvaa kupendeza anajitahid kwa level yake ila hawez fikia level ya jux,diaomond,phd.........pole
ukiwa na public relation officer wa hivi hali itakuwa ngumu sana.
be specific mafanikio gani zaidi ya nani
walifurika watu wangapi
n.k
tusiendekeze masuala ya teams na kuwalemaza wasanii kwa visifa uchwara.
He did a good job and the place was full beyond maximum
Majukumu uyatoe wapi we mteja.. Kuwa muwaz MB 8 zimekunyoosha kudadeki.
Kama unatumia airtel kama mimi piga *154*44# ok utapata Mb 800 kwa shilling elfu moja tu tena ni monthly bundle
Umaskini umeathiri akili zenu mpaka mna chuki bila sababu, kama mpaka leo unawaza kuhusu bundle basi Mungu akubariki akutowe kwenye ufukara uliopitiliza na nakuahidi kukumbuka katika maombi na wewe ubarikiwe kama Mungu anavyonibariki mimi na kazi za mikono yangu.
Anza kuuchukia umaskini kuanzia leo maana ndio unaosababisha chuki, Mungu akianza kukubariki hizi roho za kishetani zitaondoka zenyewe.
that is an idealism popping only within a country.
Jamani eeh,tuacheni basi na King Kiba wetu hata kama ni wa mwaka 1945 ndio tunampenda hivyo hivyo. Kwani nyie kinawauma nini au mnapungukiwa na nini sisi tukimpenda na kumsifia?
Mnaandika magazeti marefu kama mnalipwa kisa Kiba! Kama hawapi presha hofu ya nini?
TUACHENI NA KIBA WETU NYIE BAKIENI NA HAO WENU!
Tena lukelo sakafu mtu asikutishe leta habari za King kadri utakavyokua unazipata.