Ahsante sana my dear! Nawewe pia, karibu sana kesho nitakuwa pale Seacliff kuanzia saa sita mchana mpaka usiku mzito. atoto pia atakuwepo na usijali gharama zote juu ya shemeji yako.
Nawatakia Pasaka njema Mdakuzi Matola atoto geniveros miss strong Viol ( Ms.Lincoln wewe sijakusoma vizuri kama ni Alshaabab au ant Baraka..lol)
Msherehekee kwa amani guys....
Love ya'll.
[emoji8] [emoji8] [emoji8]
I see!!..... hata tunaokula kwa macho tunakaribishwa?
Sasa nawewe ongea tartiiibu wewe ndiye utakaye finance usitake watu wotteee wajue
Sasa nawewe ongea tartiiibu wewe ndiye utakaye finance usitake watu wotteee wajue
Wow! Thank you BestOfMyKind👗👗 pasaka njema nifah
👗👗 pasaka njema nifah
Wow! Thank you BestOfMyKind
[emoji154] [emoji158] [emoji149] [emoji149]
Hahahaaa,leo umemwaga le Mchelez u know. ..lol
hey mpige na kura
Wapi? Kule kumchagua King kuingia kwenye list ya watakaogombea Kill Music Awards kwa kutumia WhatsApp naona complication tu.Ila nina uhakika atapita tu.
Au wewe unaongelea wapi?
Habari zenu familia ya kiba..
nipe no za huko kwa whasap kule kwa tuzo za watu