Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Mar 28, 2015 #8,521 nifah said: Hahahaaa.Na kweli nasubiri tu na mimi nilipize kisasi, haiwezekani. Kama wewe hua hukaribishi watu ikishapita week ndio unakuja hapa na mapicha yako. Click to expand... Alafu picha zenyewe za wadudu
nifah said: Hahahaaa.Na kweli nasubiri tu na mimi nilipize kisasi, haiwezekani. Kama wewe hua hukaribishi watu ikishapita week ndio unakuja hapa na mapicha yako. Click to expand... Alafu picha zenyewe za wadudu
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,939 Reaction score 43,573 Mar 28, 2015 #8,522 nifah said: Hahahaaa.Na kweli nasubiri tu na mimi nilipize kisasi, haiwezekani. Kama wewe hua hukaribishi watu ikishapita week ndio unakuja hapa na mapicha yako. Click to expand... Teh Teh wengine pasaka haituhusu labda Eid na ntakuwa bukoba labda nikubebee hawa wadudu na ndizi Attachments 1427562331242.jpg 107 KB · Views: 64
nifah said: Hahahaaa.Na kweli nasubiri tu na mimi nilipize kisasi, haiwezekani. Kama wewe hua hukaribishi watu ikishapita week ndio unakuja hapa na mapicha yako. Click to expand... Teh Teh wengine pasaka haituhusu labda Eid na ntakuwa bukoba labda nikubebee hawa wadudu na ndizi
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,939 Reaction score 43,573 Mar 28, 2015 #8,523 atoto said: Alafu picha zenyewe za wadudu Click to expand... Teh Teh sio wadudu ni dhahabu za bukoba...
atoto said: Alafu picha zenyewe za wadudu Click to expand... Teh Teh sio wadudu ni dhahabu za bukoba...
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Mar 28, 2015 #8,524 Ruttashobolwa said: Teh Teh wengine pasaka haituhusu labda Eid na ntakuwa bukoba labda nikubebee hawa wadudu na ndizi Click to expand... Sitaki kuamini kama wewe sio Christian! Uwiiiiii!Hao wadudu nimewahi kuwala ni watamu lakini siamini niliwezaje kuwala.Ila huyo rafiki yangu aliyenipa alinishawishi sana, dah!
Ruttashobolwa said: Teh Teh wengine pasaka haituhusu labda Eid na ntakuwa bukoba labda nikubebee hawa wadudu na ndizi Click to expand... Sitaki kuamini kama wewe sio Christian! Uwiiiiii!Hao wadudu nimewahi kuwala ni watamu lakini siamini niliwezaje kuwala.Ila huyo rafiki yangu aliyenipa alinishawishi sana, dah!
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Mar 28, 2015 #8,525 atoto said: Alafu picha zenyewe za wadudu Click to expand... Umeona eeh? Hujawahi kuwala wewe? Mimi nilipenda sana zile ndizi nyama. 😛😛
atoto said: Alafu picha zenyewe za wadudu Click to expand... Umeona eeh? Hujawahi kuwala wewe? Mimi nilipenda sana zile ndizi nyama. 😛😛
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Mar 28, 2015 #8,526 Ruttashobolwa said: Teh Teh sio wadudu ni dhahabu za bukoba... Click to expand... Hahahaaa! Lol
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Mar 28, 2015 #8,527 nifah said: Sitaki kuamini kama wewe sio Christian! Uwiiiiii!Hao wadudu nimewahi kuwala ni watamu lakini siamini niliwezaje kuwala.Ila huyo rafiki yangu aliyenipa alinishawishi sana, dah! Click to expand... Mie wamenishinda kabisaaaaaa!!! Hao wadudu yaani nikiwaona cjui nawaza nn yaani, ctaki hata kufikiri
nifah said: Sitaki kuamini kama wewe sio Christian! Uwiiiiii!Hao wadudu nimewahi kuwala ni watamu lakini siamini niliwezaje kuwala.Ila huyo rafiki yangu aliyenipa alinishawishi sana, dah! Click to expand... Mie wamenishinda kabisaaaaaa!!! Hao wadudu yaani nikiwaona cjui nawaza nn yaani, ctaki hata kufikiri
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,939 Reaction score 43,573 Mar 28, 2015 #8,528 nifah said: Sitaki kuamini kama wewe sio Christian! Uwiiiiii!Hao wadudu nimewahi kuwala ni watamu lakini siamini niliwezaje kuwala.Ila huyo rafiki yangu aliyenipa alinishawishi sana, dah! Click to expand... Teh Teh kwanini hutaki kuamini?
nifah said: Sitaki kuamini kama wewe sio Christian! Uwiiiiii!Hao wadudu nimewahi kuwala ni watamu lakini siamini niliwezaje kuwala.Ila huyo rafiki yangu aliyenipa alinishawishi sana, dah! Click to expand... Teh Teh kwanini hutaki kuamini?
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Mar 28, 2015 #8,529 nifah said: Umeona eeh? Hujawahi kuwala wewe? Mimi nilipenda sana zile ndizi nyama. 😛😛 Click to expand... Hao haitotokea niwale mie hata iweje
nifah said: Umeona eeh? Hujawahi kuwala wewe? Mimi nilipenda sana zile ndizi nyama. 😛😛 Click to expand... Hao haitotokea niwale mie hata iweje
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,939 Reaction score 43,573 Mar 28, 2015 #8,530 atoto said: Mie wamenishinda kabisaaaaaa!!! Hao wadudu yaani nikiwaona cjui nawaza nn yaani, ctaki hata kufikiri Click to expand... Umekosa vitamin mwilini mtani..
atoto said: Mie wamenishinda kabisaaaaaa!!! Hao wadudu yaani nikiwaona cjui nawaza nn yaani, ctaki hata kufikiri Click to expand... Umekosa vitamin mwilini mtani..
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Mar 28, 2015 #8,531 Ruttashobolwa said: Teh Teh kwanini hutaki kuamini? Click to expand... Siku zote nimejijengea kua wewe ni Christian,sijui kwanini.Hata sasa inakua ngumu kubadili hii dhana.
Ruttashobolwa said: Teh Teh kwanini hutaki kuamini? Click to expand... Siku zote nimejijengea kua wewe ni Christian,sijui kwanini.Hata sasa inakua ngumu kubadili hii dhana.
Phoenix JF-Expert Member Joined Sep 6, 2012 Posts 10,592 Reaction score 15,485 Mar 28, 2015 #8,532 atoto said: Kabla hujanipa dawa kipenzi cha roho yangu hebu niambie ulimuota nani? Click to expand... Hapo chacha!
atoto said: Kabla hujanipa dawa kipenzi cha roho yangu hebu niambie ulimuota nani? Click to expand... Hapo chacha!
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Mar 28, 2015 #8,533 Ruttashobolwa said: Umekosa vitamin mwilini mtani.. Click to expand... Hahaaa! Acha tu nivikose kwakweli
Ruttashobolwa said: Umekosa vitamin mwilini mtani.. Click to expand... Hahaaa! Acha tu nivikose kwakweli
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Mar 28, 2015 #8,534 Ms.Lincoln said: Hapo chacha! Click to expand... Loooo mwanamke mpana wewe!! Yaani hapa nina mume majanga
Ms.Lincoln said: Hapo chacha! Click to expand... Loooo mwanamke mpana wewe!! Yaani hapa nina mume majanga
pejohn Senior Member Joined Mar 18, 2014 Posts 149 Reaction score 51 Mar 29, 2015 #8,535 Nasema nawe itawachekecha tu
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,430 Reaction score 108,589 Mar 30, 2015 Thread starter #8,536 nifah said: Siku zote nimejijengea kua wewe ni Christian,sijui kwanini.Hata sasa inakua ngumu kubadili hii dhana. Click to expand... Huyo ni Bakwata ni vigumu kumuelewa pose zake.
nifah said: Siku zote nimejijengea kua wewe ni Christian,sijui kwanini.Hata sasa inakua ngumu kubadili hii dhana. Click to expand... Huyo ni Bakwata ni vigumu kumuelewa pose zake.
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Apr 4, 2015 #8,537 Nawatakia Pasaka njema Mdakuzi Matola atoto geniveros miss strong Viol ( Ms.Lincoln wewe sijakusoma vizuri kama ni Alshaabab au ant Baraka..lol) Msherehekee kwa amani guys.... Love ya'll. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Nawatakia Pasaka njema Mdakuzi Matola atoto geniveros miss strong Viol ( Ms.Lincoln wewe sijakusoma vizuri kama ni Alshaabab au ant Baraka..lol) Msherehekee kwa amani guys.... Love ya'll.
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,341 Apr 4, 2015 #8,538 nifah said: Nawatakia Pasaka njema Mdakuzi Matola atoto geniveros miss strong Viol ( Ms.Lincoln wewe sijakusoma vizuri kama ni Alshaabab au ant Baraka..lol) Msherehekee kwa amani guys.... Love ya'll. Click to expand... pande nilipo sikukuu za kidini hazipo.Mitaa yetu najua pilau na soda
nifah said: Nawatakia Pasaka njema Mdakuzi Matola atoto geniveros miss strong Viol ( Ms.Lincoln wewe sijakusoma vizuri kama ni Alshaabab au ant Baraka..lol) Msherehekee kwa amani guys.... Love ya'll. Click to expand... pande nilipo sikukuu za kidini hazipo.Mitaa yetu najua pilau na soda
Phoenix JF-Expert Member Joined Sep 6, 2012 Posts 10,592 Reaction score 15,485 Apr 4, 2015 #8,539 nifah said: Nawatakia Pasaka njema Mdakuzi Matola atoto geniveros miss strong Viol ( Ms.Lincoln wewe sijakusoma vizuri kama ni Alshaabab au ant Baraka..lol) Msherehekee kwa amani guys.... Love ya'll. Click to expand... Ahsante sana my dear! Nawewe pia, karibu sana kesho nitakuwa pale Seacliff kuanzia saa sita mchana mpaka usiku mzito. atoto pia atakuwepo na usijali gharama zote juu ya shemeji yako. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
nifah said: Nawatakia Pasaka njema Mdakuzi Matola atoto geniveros miss strong Viol ( Ms.Lincoln wewe sijakusoma vizuri kama ni Alshaabab au ant Baraka..lol) Msherehekee kwa amani guys.... Love ya'll. Click to expand... Ahsante sana my dear! Nawewe pia, karibu sana kesho nitakuwa pale Seacliff kuanzia saa sita mchana mpaka usiku mzito. atoto pia atakuwepo na usijali gharama zote juu ya shemeji yako.
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Apr 4, 2015 #8,540 Viol said: pande nilipo sikukuu za kidini hazipo.Mitaa yetu najua pilau na soda Click to expand... Haya poleeee.
Viol said: pande nilipo sikukuu za kidini hazipo.Mitaa yetu najua pilau na soda Click to expand... Haya poleeee.