TGInnocent
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 1,088
- 583
Tokea juzi najionea maajabu huku JF.Midume mizima bila aibu inakaa inashangilia nyumba ya mwanaume mwenzao ambayo hawajui kaipataje.Ni mwendawazimu pekee atakayeamini kua nyumba zile zinatokana na mapato yake kimuziki.
Mwanaume unakaa kushangilia nyumba ya mwanaume mwenzio? Bora kusifia kidogo inaleta maana.
This is shame!
Changamoto kwa kumsifia kulikopitiliza? Hii ni mpya kwangu.nifah mimi nadhani wanampa changamoto tu kwamba star kama yeye anatakiwa kutengeneza vitu vyenye viwango.
Changamoto kwa kumsifia kulikopitiliza? Hii ni mpya kwangu.
Mwenzake kaonyesha bafu la magold na flat screen ndani, mwambieni king naye tuone lake
Changamoto kwa kumsifia kulikopitiliza? Hii ni mpya kwangu.
Hata mimi nilikushangaa kwa ile comment yako ya mwanzo.Then I misunderstood you, nilifikiri wanaponda poor construction baada ya fence kuanguka.
Nawasalimu Fans.....
ndoto haizuiliki,pakuanzia ni hapo kwake,sijui kama huu uchumba wetu utaendelea
unategemea nini shemeji kama nabaniwaShemeji nawee! Unachepukia ndotoniiiii.....ukame gani huooo😀😀
dah faiza hapana si ndo yule aliyevaa pampers siku ya birthday yske